Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Hahahaha...kijana wa Bwn. Mudy naona Umezidiwa Hoja sasa unaleta VIROJA

Ukweli utabaki kuwa Mudy alimbaka Aisha wa miaka 9

Usianze kutunga uongo kwa habari ya Yesu kwasababu Uongo ni dhambi.
mi naweza nikaback up maelezo yangu sijui wewe.
 
kumbe boko haram walikuwa wanawasiliana na serikali muda mrefu.

lakini kwanini wanashindwa kuwamaliza boko haram?

nakumbuka na ile hadithi ya kwenye biblia ambapo shetani na mungu wanapiga stori na shetani anamuambia mungu naomba nikamjaribu mtu wako lazaro na mungu akamwambia nenda ukamjaribu ila usimuue.
pale ndio nikaja kugundua kwamba mungu na shetani ni marafiki na huwa wanawasiliana.
Hahaaaaaaa
 
All of that is relevant to today's liturgy of the word because of its emphasis on Jesus' "virgin birth," and a persistent tradition that Jesus' conception was the result of rape by a Roman soldier. What if that tradition were true? Would that make the story less inspiring or more? I'd choose the latter -- especially in the light of the questions I've just raised.
Let me explain simply by offering some background for today's reading from Matthew along with a reference to the selection from Isaiah traditionally seen as a prophecy of Jesus' virginal conception.
To get from here to there, try to understand the situation of Joseph and Mary as young marrieds in a context of imperial aggression. They're a teenage couple; they are poor and living in an occupied country. Joseph is a jack-of-all-trades -- that's what the Greek word we translate as "carpenter" meant in first century Palestine. Like everyone from his class, he was unemployed most of the time. But he'd fix your leaking roof if you hired him. When he could, he'd harvest grapes and wheat for local landlords.
And he was probably deeply involved with the local insurgency against Roman occupation. (Nearly every impoverished patriot is in such situations.) Additionally, the only commentary we have on Joseph's character is Matthew's single word "just." He was a just man. (By the way, his son, James -- the one who headed the Jerusalem church following his brother's death -- was also known as "James the just.") In the Hebrew culture of Jesus' day, justice meant taking the side of the powerless. It appears to have been a central value Joseph passed on to his children.
As resisters, Joseph's kind would have been considered terrorists by the Romans. In fact, the very year in which Jesus was likely born (6 BCE) Galilee's countryside would have been crawling with Roman soldiers fighting against people like Jesus' supposed father. The occupiers were busy laying siege to the city of Sepphoris, the capital of Galilee -- a mere hour's walk from Joseph's village.
There the insurgency had taken a decisive stand against Rome's puppet, King Herod. And like Americans in Iraq's Fallujah, the Romans were determined to make an example of the city by laying it waste utterly. Before their final offensive, preparation involved night raids, kicking in doors, and raping young Jewish girls. To repeat, all forces of occupation -- even our own today -- know the drill.
Mary's "Virginity" and the Problem of Military Rape (Sunday Homily)
 
Huku sisi tukiwa kwenye msiba mkubwa wa ajali ya Arusha kwanini huko Nigeria Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa kwa wazazi ndugu jamaa hata marafiki baada ya serikali ya Nigeria kusalimu amri na kukubali masharti ya kundi la Boko Haram la kubadilishana wafungwa na mabinti waliotekwa
Ni miaka mitatu sasa tangu mabinti hao walipovamiwa shuleni kwao na maharamia wa Boko Haram katika mji wa Chibok ...kwa muda wote huo wazazi na hata ndugu waliishi kwenye sintofahamu kubwa kuhusiana na mustakabali wa watoto wao
Wamepitia mengi pengine mabaya kuliko mazuri.. Hakika wanaorudi sio wale walioenda kiufahamu na hata kiumri.... Walifundishwa mengi kwa nguvu, walifanyishwa kazi za kitumwa na walikuwa watumwa wa ngono kwa sehemu kubwa
Ni kushukuru kuwaona hai tena ni jambo la furaha sana lakini wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho na kisaikolojia ili waweze kurudi katika hali yao ya awali., kimwili kiafya na kiakili
Sisi tunamalizia wiki kwa majonzi wenzetu wanamalizia kwa furaha
Kifo na uzima vyote hutokea kwa wakati mmoja... God knows better
d8aec10fab91d118d68008633cab7580.jpg

Hawa wasichana wanasikitisha sana kwani wengi wao walikataa kurudi makwao kuhofia kukosa mgegedo wa Boko Haram daily. Kweli gegedo ni habari nyingine jamani, mimi ningekuwa rais wao ningewaruhusu warudi porini kwenye starehe mwanana.
 
Hawa mabinti walivaa hivi wakasema hapa hata mtume Muhammad angetegeka tu.

Kwakuwa alikuwa na wake wengi na bado akambaka mtoto Aisha wa miaka 9.

2017-03-26-09-24-05--1186129004.jpeg
2017-03-26-09-25-11--1186129004.jpeg
 
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Kitu ambacho wengi hamjuwi huku mkidhani mnajua ni suala la ugaidi ile ni American boko haram makundi yote ya kigaidi yameutoshwa na hao mnao waabudu kwa kiwango kiubwa !!
 
Ndo dunia ya Western inavyotengeneza mambo kwa Sanaa na ufundi wa hali Juu....!!.

Uislam kwa uwazi upo against their culture,ambapo pia matendo yao (westerners) mengi ni kinyume na Christianity ideology ulio ktk bible....

Christianis ni kama imeshaukubali mfumo huo na kuishi nao ingawa umeshakwisha iharibu dini yao...ndio maana leo you can't separate clearly Christian and western culture..... na wamekwisha maliza kazi yao....isipokuwa kwa wafuasi wachache...

The realy and serious threat for them is Islam....na imekuwa ngumu kwao kwa sababu umefangamanishwa na imani na matendo yalioainishwa kwa sheria na kanuni zinazomuongoza muumini katika nyanja zote za maisha ya kila siku....

Trump alikiri peupe kwamba Kundi la ''IS'' liliundwa na akina Hilary Clinton,....kwa lengo gani..? Mbinu kama hizo ngapi ambazo hatuzijui...?

Bt time will tells..! imani yoyote ambayo ina muunganiko wa mantiki na hoja zilizo wazi,... inayojipambanua pasipo kuficha....basi nguvu yake ni kubwa kuliko milima ya vifaru,madege ,makombora na hila zozote...kwani mwishowe Binadamu na ukweli ni vitu viwili vinavyotafutana....
 
Kitu ambacho wengi hamjuwi huku mkidhani mnajua ni suala la ugaidi ile ni American boko haram makundi yote ya kigaidi yameutoshwa na hao mnao waabudu kwa kiwango kiubwa !!
Kama kweli ni ya amerika kwanini hao waamerika wawatumie waislamu tu sehemu zote ina maana wakristo hawapo au bokoharamu si wapendwa wenzenu?.
 
Huwa napenda kuchangia kwa karibu nyuzi ninazozianzisha lakini huu mmmhh
 
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Libya..misri...Iraq.. Syria..Somalia.. Taabu tupu..ni nani aliyewapelekea taabu hizo kama sio MGALATIA?
 
Kama kweli ni ya amerika kwanini hao waamerika wawatumie waislamu tu sehemu zote ina maana wakristo hawapo au bokoharamu si wapendwa wenzenu?.
Mkuu mawazo yako yamefungwa yana kikomo cha kuona haya mambo huwezi elewa mkuu waliyo banga huu mchezo wanajua hesabu ndio maana wanatutibu na dawa zao na kutuibia mkuu tuendeleye kusubiri yesu arudi mkuu!!!
 
Libya..misri...Iraq.. Syria..Somalia.. Taabu tupu..ni nani aliyewapelekea taabu hizo kama sio MGALATIA?
Wana macho lakini hawaoni,wana masikio lakini hawasikii, wanazo ndimi zao ila hazijui ladha ya vyakula wanavyokula.
Inakuwaje urubuniwe wewe tu siku zote ikiwa kweli unayo masikio,macho,pua,ngozi na ulimi unaofanya kazi?.
Ikiwa wewe ukipewa upanga umkate baba yako huwezi inakuwaje wao wapewe mapanga wakubali kuuana kama siyo kushindwa kufuata miongozo ya Mungu wa kweli?.
Kaa chini utafakari jirani yako hapigani na mkewe kutwa kucha ni wewe tu ujue tatizo ni wewe.
Unashindwaje kukataa,vifungu vya quran vitaendelea kutumika kuwapiganisha na katu hamtafumbuka mpaka mtakapokuja kumwelewa Mungu mnayemwabudu ni wa sampuli gani?.
Shetani hana mzaha na wabishi lazima awanyooshe ipasavyo.Ni heri muyajue mapenzi ya Mungu muyafanye mpate kupona.
 
Aliyekwambiya kwamba wanapigana vita vya kidini ni nani?hao Wagalatia ndio wanawavuruga ..... .wanawafitinisha...ili wagombane..wasiwe wamoja...CHQNZO CHA VURUGU ZOTE DUNIANI NI MAREKANI....kwn nani asiyejuwa kama ADUI namba moja wa WAISLAM PIA NI marekani?akiona inchi ya ISLAM imetulia...anaanza kuifitinisha....mradi tu... Wauane...haya niambie ktk inchi hizo zinazogombana ni.ipi HAKUNA mkono wa MGALATIA HAPO?Afghanistan.. Iraq..syria..misri..libya..SOMALIA..SUDAN.....NK..NA..CHANZO CHA RUSSIA KUVUNJIKA PIA NI YEYE MGALATIA.....alijaribu mapinduzi turky...ikashindikana..
 
Back
Top Bottom