Wacha kunyambua nyambua maandiko kama mwanamke anachambua mchele!
Toa andiko MOJA KWA MOJA KWENYE KITABUA KIKUU KAMA MFANO HUU HAPA!.
HESABU 31.15-18
15 Musa akawauliza, Je! Mmewaponya wanawake wote hai?-
16-Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie Bwana dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hivyo pigo lilikuwa katika mkutano wa Bwana.-
17-Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye.-
18-Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.-
NYIE mmepewa ruksa ya kuuwa wanamme WOTE! na wanawake wote ambao sio BIKRA! na mmepewa ruksa ya KABAKA WATOTO WADOGO! Tena bila kutaja umri!!
ANDIKO LA MASHETANI NI HATARI KULIKO BOKO HARAMU.