Boko Haram wateka wasichana wengine 8

Boko Haram wateka wasichana wengine 8

Status
Not open for further replies.
haijalishi,hata mzee wa upako anaweza kuanzisha movement ya kutaka nchi itawaliwe kwa amri kumi za moses na wasiokubali wawe attacked,but huo ni msimamo wake sio msimamo wa wakristo wote.

Haijalishi!!?

Mie naona unapotosha tu hapa kwa hoja za kitoto!

Tofauti ni kwamba mzee wa upako akianzisha hizo movement anazianzisha kinyume na mafundisho ya Biblia takatifu!

Lakini bokoharam wanatumia Qur'an 'kurasimisha' unyama wao!!!

Kweli si kweli!!?
 
Elimu niliyonayo inaniambia boko haram ni kikundi cha kiislam kweli si kweli?
Elimu niliyonayo inaniambia boko haram wanataka nigeria iwe islamic state kweli si kweli
Elimu niliyonayo inaniambia boko haram wanafanya matendo yao kwa kufuata maandiko ya quran kweli si kweli
Elimu niliyonayo inaniambia boko haram wanatekeleza sharia law na wanataka wanaigeria waote waifuate kweli si kweli
Elimu niliyonayo wanakataza wanawake kusoma elimu ya kawaida na kuwateka ili wakaolewe au wasome elimu ya dini kweli si kweli

Punguza speed kwanza.

Twende pole pole.

Joseph kony of Uganda with his lord resistance army anaebaka wanawake kila siku na kuingiza watoto kwenye jeshi la wokovu ili asimamishe amri kumi za yesu kristo anauwakilisha ukristo kweli ama si kweli??

Mel ya kwanza kuja kuchukua watumwa pale ghana mababu zetu na kuwapeleka ulaya kuwauza iliitwa jina la jesus ambae ni mungu wako mzungu kweli ama si kweli??

Twende pole pole...
 
Haijalishi!!?

Mie naona unapotosha tu hapa kwa hoja za kitoto!

Tofauti ni kwamba mzee wa upako akianzisha hizo movement anazianzisha kinyume na mafundisho ya Biblia takatifu!

Lakini bokoharam wanatumia Qur'an 'kurasimisha' unyama wao!!!

Kweli si kweli!!?

Joseph kony pia anatumia bibilia kweli ama si kweli??

Wale wanaofungisha ndoa za jinsia moja na pamoja za wanyama na binadamu wanatumia bibilia kweli ama si kweli??
 
waislam wengine wa tz ni vipofu (sio wote) wanasifia na kuunga mkono al shabab , Boko Haram! Wanasifia na kuunga mkono sababu sio mabinti zao wametekwa, sababu hakuna ndugu yao aliyekufa watergate Kenya!

Uovu ni uovu tu haiajalishi unatendwa na uislam au ukristo au na budha, sio kwamba sababu hauathririki unaona ni sawa tu mabaya yaendelee kutokea kwa wengine kisa ni ndugu zako (wa dini yako) wanatenda!
 
Kuna watu wanatakiwa kuachia ofisi na ku move on
 
Haijalishi!!?

Mie naona unapotosha tu hapa kwa hoja za kitoto!

Tofauti ni kwamba mzee wa upako akianzisha hizo movement anazianzisha kinyume na mafundisho ya Biblia takatifu!

Lakini bokoharam wanatumia Qur'an 'kurasimisha' unyama wao!!!

Kweli si kweli!!?
mzee wa upako anaweza kutumia aya ya kutoka katika kitabu cha hesabu aliyoiweka kahtan kufanya kama walivyofanya boko haramu,kweli si kweli?
 
Haijalishi!!?

Mie naona unapotosha tu hapa kwa hoja za kitoto!

Tofauti ni kwamba mzee wa upako akianzisha hizo movement anazianzisha kinyume na mafundisho ya Biblia takatifu!

Lakini bokoharam wanatumia Qur'an 'kurasimisha' unyama wao!!!

Kweli si kweli!!?
ni kwamba tu hatutaki kuifanya hii thread kuwa ya kidini zaidi kwa kuweka aya za bibilia zinazokua na misimamo ya ndivyo sivyo.

Kuna maelfu ya aya mkuu za bible ambazo ni very extreme na christian hardliner yeyote anaweza kuzitumia kujustify unyama,umemsahau kibwetere,ama david koresh?
 
Joseph kony pia anatumia bibilia kweli ama si kweli??

Wale wanaofungisha ndoa za jinsia moja na pamoja za wanyama na binadamu wanatumia bibilia kweli ama si kweli??

Tulia!

Kati ya amri mojawapo Kati ya hizo kumi inasema 'usiue' ,nyingine inasema 'usitamani mwanamke asiye Mali yako'!Nyingine inasema 'ndoa ni kati ya mwanamke na mwanamume'!

Hilo pekee linamfanya Kony na wenzie wanaofanya hayo kutokuwa WAKRISTO!

Hebu tafuta kwenye Qur'an yako aya chache tu ZINAZOFANANAFANANA na maneno hayo kama utazipata!

Halafu mbona tunaona wenzenu kwenye TV wakiua watu wanasema Allahu Akbar!! mbona huwa hamuandamani kama mtume alivyochorwa kikagaragosi!??

Umewahi kumuona mtu anaua au anabaka kwa jina la Yesu au anapaza sauti akisema 'Yesu asifiwe!!!'

Kusema Uislamu sio Ugaidi ni UNAFIQ wa hali ya juu!
 
Wacha kunyambua nyambua maandiko kama mwanamke anachambua mchele!

Toa andiko MOJA KWA MOJA KWENYE KITABUA KIKUU KAMA MFANO HUU HAPA!.

HESABU 31.15-18

15 Musa akawauliza, Je! Mmewaponya wanawake wote hai?-

16-Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie Bwana dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hivyo pigo lilikuwa katika mkutano wa Bwana.-

17-Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye.-

18-Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.-

NYIE mmepewa ruksa ya kuuwa wanamme WOTE! na wanawake wote ambao sio BIKRA! na mmepewa ruksa ya KABAKA WATOTO WADOGO! Tena bila kutaja umri!!
.

Nchi gani ambayo wakristo wamefanya hayo hata kwa miaka zaidi ya 1000 nyuma?
 
Tulia!

Kati ya amri mojawapo Kati ya hizo kumi inasema 'usiue' ,nyingine inasema 'usitamani mwanamke asiye Mali yako'!Nyingine inasema 'ndoa ni kati ya mwanamke na mwanamume'!

Hilo pekee linamfanya Kony na wenzie wanaofanya hayo kutokuwa WAKRISTO!

Hebu tafuta kwenye Qur'an yako aya chache tu ZINAZOFANANAFANANA na maneno hayo kama utazipata!

Halafu mbona tunaona wenzenu kwenye TV wakiua watu wanasema Allahu Akbar!! mbona huwa hamuandamani kama mtume alivyochorwa kikagaragosi!??

Umewahi kumuona mtu anaua au anabaka kwa jina la Yesu au anapaza sauti akisema 'Yesu asifiwe!!!'

Kusema Uislamu sio Ugaidi ni UNAFIQ wa hali ya juu!
wewe,hata US marine na jeshi lote la marekani kila kikosi wanakuaga na Chaplain,wa kuongoza maombi kabla ya kuanzisha mashambulizi ya kuua watu,ama hujui hilo?.

Unaposema amri ya usiue mnaifuata sana,sasa hao wanaosari kwa jina la yesu kabla na baada ya kuua ni wanafiki ama si wanafiki?.
 
Tulia!

Kati ya amri mojawapo Kati ya hizo kumi inasema 'usiue' ,nyingine inasema 'usitamani mwanamke asiye Mali yako'!Nyingine inasema 'ndoa ni kati ya mwanamke na mwanamume'!

Hilo pekee linamfanya Kony na wenzie wanaofanya hayo kutokuwa WAKRISTO!

Hebu tafuta kwenye Qur'an yako aya chache tu ZINAZOFANANAFANANA na maneno hayo kama utazipata!

Halafu mbona tunaona wenzenu kwenye TV wakiua watu wanasema Allahu Akbar!! mbona huwa hamuandamani kama mtume alivyochorwa kikagaragosi!??

Umewahi kumuona mtu anaua au anabaka kwa jina la Yesu au anapaza sauti akisema 'Yesu asifiwe!!!'

Kusema Uislamu sio Ugaidi ni UNAFIQ wa hali ya juu!

Kama hakuna kwenye bibilia aya zinazosema hivyo kwanini huchukii na hatuoni mkiumia na kumkemea kony kwa kutumia ukriston anakofanya katika kumwaga damu za watu bali tunawaona mkiumian zaidi upande mmoja wa watu kama boko haramu wanaolandana na joseph kony??

katika uislam ni haram kuua nafsi ya kiumbe chochote kwenye mgongo huu wa ardhi na popote pale ulimwenguni kisicho na hatia.

Na hakuna aya inayohalalisha mauaji au ugaidi kama wanavyofanya bokoharam au alqaeda na kadhalika,kama wewe unayo iweke hapa.

Na wanachokifanya boko haram ni kama wanachokifanya joseph kony na LRA vip nyinyi mwakemea upande mmoja??
 
Askari wa marekani wakisari kabla ya kwenda kufanya mauaji.
circle.jpg
 
Nyie wote mlitakiwa MTEKWE! Halafu mnajisiwe na hao BOKO!
Halafu kwa wale wanamme mbanwe hio migololi yenu mpaka yageule Kakende! Kwa maana ingine MUHASIWE! Km alivyokuwa PAULO!

Na kwa wale kina dada basi Mugeuzwe viburudisho vya wale wanajeshi wa BOKO HARAMU!
Iwe kutwa mara tano kama zile dawa za mseto!

Siku mkiachiwa huru Labda zenu zitarudi!

Kambaf! Nyama ya makalio yenu!

Mnfnssssssssss!

Cc faby

cc King'asti Unaona? Huu ndio uislamu ndugu yangu, don't guess otherwise!
 
Idadi ya watoto wadogo wasiokua na hatia waliouawa na jeshi la marekani kwa makombora na drone huko pakistani inafikia zaidi ya 400.
Nani kawapa ruksa hawa watu ya kutoa uhai wa vitoto vidogo kwa makombora?.
23.jpg
 
sijui kama unayosema ni sawa,afterall sijamaliza kuisoma post yako yote,lakini nakuuliza ulishawahi kupitia na kwenye bibilia na kuona mungu wa bibilia akiwaamuru akina moses kuteka wabinti wasiowahi kumjua mwanaume na kujitwalia?.

Nachomaanisha ni kuwa usimpende kurusha mawe kwenye nyumba ya jirani wakati we mwenyewe unaishi katika nyumba ya vioo.

1. huna haja ya kudhani dhani, tafuta muislamu anayejua Quran akuambie, kama vipi tafuta Quran ya kiingereza usome mwenyewe.

2. Ndio najua biblia inasema nini. Lakini hiyo ni Old testament ambayo wakristo hatukuwahi kuhusika nayo kabisa. Kumbuka wakristo sio wayahudi. Hakuna mkristo aliyewahi kufuata torati! Ndio maana hata sasa hivi nikikupa challenge utafute ni wapi wakristo wamefanya hayo mambo hata kurudi nyuma miaka zaidi ya 1000 hautapata mfano hata mmoja! Vile vile hata hao wayahudi wenyewe si wapo? lini umeona hayo yamefanyika kwenye karne hii?
Usilazimishe uislamu uwe sawa na ukristo, maagizo ya mohammed wakati ule bado yana-apply mpaka leo hilo ndio tatizo, wenzetu hawana "new testament", hivyo hawa waislamu tunaoishi nao kwa amani hapa bongo wanatulia timing tu, idadi yao ikizidi yetu ni lazima wafanye kama waislamu wenzao wanavyofanya nchi za kiislamu.
 
Haya ndio mambo tusiyoyataka,kujitia usomi feki wa kuandika kiingereza ili kutafuta kichaka cha kujifichia,unanukuu aya ambayo unashindwa hata kuitafsiri ushasema married kisha mbele unasema raped,tukuelewe vp sasa,mambo ya kujitekenya mwenyewe halafu unajichekesha haya ,hebu taja walau taifa moja ambalo wanaume wake wote waliuliwa kisha wake zao kubakwa,hebu wacha kujitia wehu ucozaliwa nao,na huko Saudi,Yemen hao sex captives wanawapatia wapi maana cdhani kama kuna vita huko au dada zako ndio umewapeleka......!

wewe ndio una matatizo hujaona married nimeweka kwenye hizo alama au hujui hizo maana zinamaanisha nini? kusoma kiingereza kinataka elimu dunia, jifahamishe....
 
Siku ya hukumu Mungu hataangalia kama uliua itakula kwako bila kujali wewe ni boko haramu,delta force ama Navy seal.
Hataangalia kama ulitumwa na osama bin laden ama ulitumwa na george bush ama obama.
Hawa ni watoto wasio na hatia waliouawa kwa makombora ya wamarekani.
r-AFGHANISTAN-AIR-STRIKE-KILLS-CHILDREN-large570.jpg
 
1. huna haja ya kudhani dhani, tafuta muislamu anayejua Quran akuambie, kama vipi tafuta Quran ya kiingereza usome mwenyewe.

2. Ndio najua biblia inasema nini. Lakini hiyo ni Old testament ambayo wakristo hatukuwahi kuhusika nayo kabisa. Kumbuka wakristo sio wayahudi. Hakuna mkristo aliyewahi kufuata torati! Ndio maana hata sasa hivi nikikupa challenge utafute ni wapi wakristo wamefanya hayo mambo hata kurudi nyuma miaka zaidi ya 1000 hautapata mfano hata mmoja! Vile vile hata hao wayahudi wenyewe si wapo? lini umeona hayo yamefanyika kwenye karne hii?
Usilazimishe uislamu uwe sawa na ukristo, maagizo ya mohammed wakati ule bado yana-apply mpaka leo hilo ndio tatizo, wenzetu hawana "new testament", hivyo hawa waislamu tunaoishi nao kwa amani hapa bongo wanatulia timing tu, idadi yao ikizidi yetu ni lazima wafanye kama waislamu wenzao wanavyofanya nchi za kiislamu.
kabla sijamaliza kusoma post yako,kumbe wakristo hamuhusiki na agano la kale?,kama ndivyo then kwanini liko included kwenye bibilia?.

Haya tufanye kuliweka kando,hivi yesu alikua na maana gani aliposema ,asiye na upanga auze joho anunue?.
Ama alikua na maana ya panga za kukatia nyama choma?
 
Nchi gani ambayo wakristo wamefanya hayo hata kwa miaka zaidi ya 1000 nyuma?
nchi gani ambayo wakristo wamefanya haya?...ha ha ha ha,nimegundua mkuu wewe shuleni ulisomea PGM,au Pbm,yani ulichukua sayansi,yani hauna idea ya history kabisa.

Au unataka tukio copyright na walilofanya boko haramu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom