Boko Haram wateka wasichana wengine 8

Boko Haram wateka wasichana wengine 8

Status
Not open for further replies.
Ungejuwa kuwa Boko Haram wanapigania Wanigeria wasiwe "brain washed" usingesema hayo.

Boko = Fake
Haram = Forbidden

To them, everything western, especially western education system is totally fake and not for Africans, it brain washes Africans to think they are always inferior to the superior west.

Isn't it?

All BH are cowards and their diabolical apprentices.

Everything is Western. Hata hizo Bunduki wanazo tumia hazikuteremshwa na Allah bali zilitengenezwa na Wakristu. Hata hizo magwanda za kijeshi hazipo kwenye Kuruan. That is why THEY ARE COWARDS AND IMBECILES.

Hata hizo Camera wanazo tumia zilitengenezwa na sisi Wakristo. Almost everything is from us, I MEAN, WE CHRISTIANS.
Wapi Allah karetemsha Bunduki?
Wapi Allah kateremsha Kamera?
Wapi Allah kateremsha Magari wanayo tumia?

COWARDS ARE COWARDS TO INFINITY.
 
Yaan we ungekuwa wamekuteka af wanakuuza ningekununua bei mbaya sana.., af najua mimi ningekufanya nini.., we acha tu..

Ushenzi wanaofundishwa hao watoto wa kike mashule yasiyo na mpango ndiyo unapelekea Boko Haram wawafunze adabu wazee wao.

Amma muwanunue muwarudishe majumbani kwenu mwafundishe, mila, desturi na adabu ya Kiafrika au muwawache msiwanunue, chagua moja!

Au wewe unayapenda haya: VIDEO...WAKUBWA TUU..!!! WANAFUNZI WACHEZA UCHI HADHARANI...JIONEE MWENYEWE HAPA | MAMBO YA WALIMWENGU
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hii ndio dawa yao:



Kwa kweli hii ndio dawa iliyobakia.., maliza hao islamists wote..!! Ila wawe makini ku-avoid collateral damage kwa kuuwa raia wengine wasio na hatia!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hii ndio dawa iliyobakia.., maliza hao islamists wote..!! Ila wawe makini ku-avoid collateral damage kwa kuuwa raia wengine wasio na hatia!

Haswa, hawa ni wa kuwafyeka mpaka waelewa nini mana ya demokrasia.

 
Last edited by a moderator:
Duh! Wewe ni binadamu kweli au jini? This is simply satanic!

Satanic kivipi...? Naunga mkono biashara ya hivo visichana 208..Nigeria ni kama hawana jeshi kabisa yaaani boko haram wanafanya wanavotaka
 
st..u..p.dddddd.....hiz din nyngne za kuua sjui kwann waarab walizleta afrca...jesh la Nigeria liwasake na kuwaua hawa washenz wa al shabab

Bahati mbaya hawana jeshi..wangekuwa na jeshi haya yote yasingetokea..hivi hatuwezi kuwaazima wale wavunja matofali wetu?
 
All BH are cowards and their diabolical apprentices.

Everything is Western. Hata hizo Bunduki wanazo tumia hazikuteremshwa na Allah bali zilitengenezwa na Wakristu. Hata hizo magwanda za kijeshi hazipo kwenye Kuruan. That is why THEY ARE COWARDS AND IMBECILES.

Hata hizo Camera wanazo tumia zilitengenezwa na sisi Wakristo. Almost everything is from us, I MEAN, WE CHRISTIANS.
Wapi Allah karetemsha Bunduki?
Wapi Allah kateremsha Kamera?
Wapi Allah kateremsha Magari wanayo tumia?

COWARDS ARE COWARDS TO INFINITY.

Hujielewi.....
 
Bahati mbaya hawana jeshi..wangekuwa na jeshi haya yote yasingetokea..hivi hatuwezi kuwaazima wale wavunja matofali wetu?

We unazani kule watu wanaenda kuvunja MATOFALI...Nigeria ndio wanaoongoza Africa kuwa na jeshi lenye nguvu na wameshindwa sasa nyinyi mnataka kupeleka jeshi lenu lilizoea kupiga makofi wananchi wao. Waulizeni wanajeshi wa Kenya, Uganda na Burundi wanachokiipata hapo Somalia....kina mama kila siku wanalia watoto wao wanapelekwa somalia lakini hawarudi.
 
so unataka tuamini ya kwako?

Mkuu read between lines!nimesema TUWE WADADISI kwa hiyo dadisi pia na nilichokisema, usimeze tu.kwa hiyo sitaki nikuaminishe nilichokisema ila nataka ukifanyie kazi kutafuta ukweli juu ya other side of the coin! Hizi western Media zinatulisha kila aina ya taarifa, its now a right time tuangalie authenticity and reliability of the info. Si kila wasemacho ni sahihi,tuwe na utamaduni wakutotegemea one source of info huo ndio u-great thinker!nyingine ni propaganda tu kwa maslahi ya watu/taifa fulani!
 
Islam ni dini nzuri sana,upendo amani na kusamehe.na allah ni mungu wetu( the merciless).
 
Stop guessing anything about islam, it is not a religion but a cult! Uislamu unaruhusu kutekwa na kuuzwa kwa non-muslims, raping non-muslims etc, ukisoma Quran ya kiingereza hii inaitwa "what your right hand possess". It is exactly what Mohammed did back in the days, kuvamia mataifa yasiyo ya kiislamu na kuua wanaume wote and then kuchukua wanawake na wasichana and "marrying them".

"Abu Said al-Khudri said: "The apostle of Allah sent a military expedition to Awtas on the occasion of the battle of Hunain. They met their enemy and fought with them. They defeated them and took them captives. Some of the Companions of the apostle of Allah were reluctant to have intercourse with the female captives in the presence of their husbands who were unbelievers. So Allah, the Exalted, sent down the Quranic verse, "And all married women (are forbidden) unto you save those (captives) whom your right hands possess". That is to say, they are lawful for them when they complete their waiting period." [The Quran verse is 4:24]"
Abu Dawud 2:2150

This practice of raping war captives was practiced by Islam’s very own prophet Muhammad, in his life. On two occasions, he married (for the sake of sexual gratification only) war captives and raped them.Safiyah the daughter of Huayy was the wife of a Jewish Rabbi named Kinana. When Muhammad conquered the Jewish village of Khaibar, he tortured and killed the Rabbi and took captive his wife. Sahih Hadith in Bukhari testify to this fact:
source: Sahih Bukhari 1:8:367

waislamu bongofleva hapa JF watakataa lakini this is what is going on in most ISLAMIC NATIONS, just google islam sex slavery, yemen and sex slavery, saudi sex slaves,.... halafu angalia vitu vitakavyotoka hapo. You don't have to guess...
sijui kama unayosema ni sawa,afterall sijamaliza kuisoma post yako yote,lakini nakuuliza ulishawahi kupitia na kwenye bibilia na kuona mungu wa bibilia akiwaamuru akina moses kuteka wabinti wasiowahi kumjua mwanaume na kujitwalia?.

Nachomaanisha ni kuwa usimpende kurusha mawe kwenye nyumba ya jirani wakati we mwenyewe unaishi katika nyumba ya vioo.
 
All BH are cowards and their diabolical apprentices.

Everything is Western. Hata hizo Bunduki wanazo tumia hazikuteremshwa na Allah bali zilitengenezwa na Wakristu. Hata hizo magwanda za kijeshi hazipo kwenye Kuruan. That is why THEY ARE COWARDS AND IMBECILES.

Hata hizo Camera wanazo tumia zilitengenezwa na sisi Wakristo. Almost everything is from us, I MEAN, WE CHRISTIANS.
Wapi Allah karetemsha Bunduki?
Wapi Allah kateremsha Kamera?
Wapi Allah kateremsha Magari wanayo tumia?

COWARDS ARE COWARDS TO INFINITY.
yap,nakubali kuwa wakristo wamegundua bunduki na silaha zote za maangamizi ya kuua wanadamu.wakristo ndo wamepiganisha vita ya kwanza,ya pili na kupelekea mauaji ya mabilioni ya watu na watapiganisha tena vita vya tatu.wakristo ndo watakua mwanzo wa dunia hii kuteketea,wewe unatoka povu na boko haramu?.

Boko haramu ni just a small time nuisance(sp?).
 
hao askari wa nigeria kazi yao nn?inakuwaje wanazidiwa kiasi hicho?

"Marekani kusaidia Nigeria kwa wasichana"

Taarifa zinazohusiana...

Marekani imetangaza kwamba imetuma kikosi cha wataalamu nchini Nigeria kusaidia kuwatafuta wasichana takriban 200 wa shule waliotekwa nyara mwezi uliopita na wapiganaji wa kundi la Boko Haram.
Rais Barack Obama ameshutumu utekaji nyara wa wasichana hao na kusema kuwa mataifa yanapaswa kufanya kazi kwa pamoja ili kulikomesha Boko Haram.
"Tayari tumetuma kundi letu Nigeria. Wamekubali msaada wetu ambao unashirikisha wanajeshi, wadumishaji wa sheria na mashirika mengine ambao wanajaribu kutambua waliko wasichana hawa ili wawape msaada," Rais Obama alisema.
Rais Obama amesema kuwa jamii ya kimataifa inapaswa kutumia utekeji wa kikatili wa wasichana hao kama msingi wa kuungana na kuangamiza Boko Haram.
Nchini Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan amekubali msaada huo kama alivyosema msemaji wake, Daktari Reuben Abati.
"msaada huo kutoka kwa Rais Obama uliwasilishwa na Waziri wa Mashauri ya Kigeni John Kerry kama saa tisa alasiri hivi," Daktari Abati alisema.


bbc
 
200 + 8 = 208,hawa ndugu zetu wa Boko Haram wamewaka wapi hawa watoto ?Allah Akbar

Taarifa zinazohusiana...

140425111300_boko_haram_abubakar_shekau_afp_304x171_afp_nocredit.jpg

Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau


Kundi la wapiganaji wa kiislamu nchini Nigeria la Boko Haram limesema linapanga kuwauza wasichana zaidi ya miambili ambao liliwateka nyara wiki tatu zilizopita
Hii ni baada ya kundi hilo hatimaye kukiri ndilo lililowateka wasichana hao baada ya kimya cha wiki tatu tangu kutekwa nyara kwao.
Kiongozi wa kundi hilo, Abubakar Shekau alituma kanda ya video ambapo alikiri kwa mara ya kwanza kuwa kundi hilo ndilo liliwateka nyara wasichana hoa.
Wasichana hao walitekwa kutoka shule moja iliyo kaskazini mashariki mwa nchi walipokuwa wajinadaa kwa mitihani yao.
Wakati huo huo mwanamke ambaye ni kiongozi wa maandamano ya kushinikiza serikali kuharakisha juhudi zake za kuwaokoa wasichana hao, nchini humo Naomi Mutah aliyekuwa amezuiliwa na polisi kwa amri ya mke wa rais wa nchi hiyo Patience Jonathan ameachiwa huru.
Kumekuwa na shinikizo kwa serikali ya nchi hiyo kwamba haijafanya juhudi kubwa kuwaokoa wasichana hao.
Akizungumza kwa mara ya kwanza kuhusu tukio hilo rais wa Nigeria Goodluk Jonathan amesema kuwa atafanya awezalo kuwakoa wasichana hao.
Takriban watu 1500 wameuawa na kundi hilo mwaka huu likisema kuwa linapigana dhidi ya kile linachosema ni elimu ya kimagharabi.



bbc
 
And the american got involved.
Something fishy here.
Wapeleke hizo drone zao,pia itabidi waweke military base hapo.
Nigeria very rich in resource afterall.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom