happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
sh ngapi mkuu?huyo wa katikati?
Kwani wanauzwa hao? Natafuta mtu wa kunisafishia nyumba yangu
sh ngapi mkuu?huyo wa katikati?
Wife said," If I had known you were this poor, I wouldn't have married you."Una sera za kibaguzi, mbona mwaliko ni watu wachache, umetumia kigezo gani kuwaalika hao wawili?
Kwani wanauzwa hao? Natafuta mtu wa kunisafishia nyumba yangu
Wife said," If I had known you were this poor, I wouldn't have married you."
Husband replies," Pwahahaha, when I told you that, you were the only thing I have in this world, what were you thinking!"
We huoni bidhaa ziko shop,mtu mzima aambiwi ona!!
mkali wa wakaliJamaa alitongoza kutumia tungo tata hafai kabisa
kweli mnatutumia kama vyombo vya starehe
Wazuri lakini washamba
Utakamua hata kumi na mbili, anakwambia bado, natakaHahhaha... Bujibuji haya ndio mambo yangu, huyo aloweka kiua kichwani amefanana na ex demu wangu 1 wa kihaya.. Kuna siku 1 ulirusha uzi wenye kichwa unaosema " Kwa nini Wahaya wanaogopewa?".... Nilicheka sana cause on my side hakuna watu ninawaogopa kama Wahaya na Wanyakyusa
Washamba ndio wanono MadameXkwanza hawasumbui ha ha ha..