Boflo, njooo tusaidiane kukamua alizeti

Boflo, njooo tusaidiane kukamua alizeti

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,502
Reaction score
167,112
Peke yangu ntachemka vibaya, hebu njoo huku mwite na @mbuzi mzee na @watu8 tufanye shangwe
547310_349915965093492_1031199638_n.jpg
 
Kazi ndo msingi wa maendelea!jitume kaka kamuo hivyo hivyo utaweza!!!
 
Last edited by a moderator:
Peke yangu ntachemka vibaya, hebu njoo huku mwite na Mbuzi Mzee na watu8 tufanye shangwe
547310_349915965093492_1031199638_n.jpg

Mkuu upande wangu wa kushoto naona kuna madini ya ukweli hapo ukifanya makamuzi sijui tutaambulia debe ngapi za mafuta....
 
Last edited by a moderator:
Nshapanda gari tayari, nielekeze ni wapi mkuu Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
kweli mnatutumia kama vyombo vya starehe
Kwa sababu mmeamua iwe hivyo, vinginevyo msingeamua kujiweka wazi kiasi ambacho hata mwanaume hawezi kuvaa bukta na fulana kata mikono mpaka mjini/kwenye sherehe.
 
kweli mnatutumia kama vyombo vya starehe
Kwa kawaida vyombo vya starehe hupambwa na kuwekwa hadharani ili hadhira ione na kufurahi navyo, na ndivyo mnavyofanya ili kuteka wanaume wala hakuna mwanaume anayewashawihi ila nyinyi mnafanya hayo ili kuwateka wanaume.

Sina hakika kama ulimwengu ungekuwa ni wa wanawake pekee, mngevaa hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom