Boflo Ndani ya White party!

pole my dear kumbe ulifiwa pole sana jamani
 

Pole sana kwa msiba. Uliweza kufanya yaliyo ndani ya uwezo wa kibinadamu yaliyofuata yalikuwa nje ya uwezo wako. Basi tunaambiwa tushukuru kwa kila jambo.
 
Uzuri wake ni wa asili hatumii mkorogo wala nywele za maiti, wala hana wakati wa kuja kuringishia nywele za kichina. Ningekuuliza kuhusu wako lakini nna uhakika huna. Umtoe wapi?

Ama kweli urembo kazi. Hivi kumbe zile nywele huwa ni za marehemu wa majuu? Kaaz kwey kwey:becky:.
 

Nilipofika nimekutafuta nikukabidhi sikukupata, ikabidi nipandishe floor ya 6 Bar kwenda kuzinywa
 
Last edited by a moderator:

Pole sana dada mkubwa gfsonwin.... Mwenyezi Mungu akutie nguvu zaidi... Hata mie niliyamani sana kukuona.

Natumai mtaarrange panapo majaaliwa... Naahaidi kuwepo pia!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha jana nilikuwa natathmini mkuu, mm mgonjwa sana kwa mizigo ya kibantu
kijana uliyekuwa naye ni mwalimu wangu...wa gym
sasa mbona mbantu alikatiza anaenda maliwatoni ukuzoza au ukumuona mwenye nguo nyeupee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…