Boflo Ndani ya White party!

Baba, mimi haukuniona eeh? Hahahaha. Nimekuweza aisee.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha watakuwa ndio hao hao....otherwise Boflo iwe ni ID ya mtu flani aliyekuwemo ndani!!!

Kha!!
Ila me namjua Boflo ni Mzanzibar,sasa mbona sikumuona shem.
Ila wale jamaa sijui hata walikuwa wanafanya nini pale!
Afu kuna dume moja sijui wa wapi yule akajifanya kakosea Mlango akaingia toilet ya wanawake,kanikuta nimesimama namuangalia.
Nikamuuliza watakani?
Eti oh! Nimekosea mlango.
Ningembaka mimi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah....shem labda alikuja kwa ajili ya ukaguzi kabla ya kuzama mlango wa pili wa Party....ila nimecheka sana!!!

Afu kuna dume moja sijui wa wapi yule akajifanya kakosea Mlango akaingia toilet ya wanawake,kanikuta nimesimama namuangalia.
Nikamuuliza watakani?
Eti oh! Nimekosea mlango.
Ningembaka mimi.
 
Hahaha shem, huyu jamaa hakuingia ndani...kuna raia flan hivi wawili walikua wamesimama mlangoni mmoja Mhindi(Mwarabu) na mwingine Mmatumbi....bila shaka ndio hao.

Boflo ni yule kabachori
 
Last edited by a moderator:
Nani atongoze mkeo amechoka kama spare tyre ya treni.

Uzuri wake ni wa asili hatumii mkorogo wala nywele za maiti, wala hana wakati wa kuja kuringishia nywele za kichina. Ningekuuliza kuhusu wako lakini nna uhakika huna. Umtoe wapi?
 
Uzuri wake ni wa asili hatumii mkorogo wala nywele za maiti, wala hana wakati wa kuja kuringishia nywele za kichina. Ningekuuliza kuhusu wako lakini nna uhakika huna. Umtoe wapi?

zomba umeuaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…