Body spray ipi ni bora zaidi kwa wanaume?

Body spray ipi ni bora zaidi kwa wanaume?

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Wakuu nahitaji body spray nzuri isiyokera watu bali ina harufu nzuri na ya kuvutia
 
Wakuu nahitaji body spray nzuri isiyokera watu bali ina harufu nzuri na ya kuvutia

Mambo yote Old Spice Hawkridge (for guys with swift minds). Hii ni mpya sokoni.

Ina last all day. Sio kama body sprays zingine ambazo baada ya nusu saa au saa scent ishakwisha.

220.jpg
 
Back
Top Bottom