Zote walizotaja hapo juu ni feki nenda kanunue HIT
I usually go for the whole shebang when it comes to Old Spice...
Hiyo bodywash na bodyspray.....babkubwa!
![]()
kuna spray inaitwa cottish aise ni hatari kuna mabinti walikua wananifuata nyuma mpaka wakapotea njia inanukia is like air frsh haikeri kabisa ipo sexy sana aisee sijaona
Mambo yote Old Spice Hawkridge (for guys with swift minds). Hii ni mpya sokoni.
Ina last all day. Sio kama body sprays zingine ambazo baada ya nusu saa au saa scent ishakwisha.
![]()
Kwa Dodoma nitaipata kweli?
Inapatikana wap hii mkuuu
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Mkuu napata duka gani Dar es salaam na bei yake?
sh ngapi mkuu
Wakuu nahitaji body spray nzuri isiyokera watu bali ina harufu nzuri na ya kuvutia
Wakuu nahitaji body spray nzuri isiyokera watu bali ina harufu nzuri na ya kuvutia
Inafaa LYNX AFRICA for Men, Njoo nikuuzie ninazo SET BODY SPRAY NA SHOWER GELL YAKE kwa 32,000 Unanukia mpaka Basiiiiii .
Nipo dodoma wewe upo wapi?
Bongo Dar es Salaam
Kwa ambao tuko dar tunakupatajeTuma mtu kama una ndugu dar aje kukuchukulia na cash mkononi alafu akuagizie uko kwa basi, biashara za Mpesa na tigo pesa sifanyi nimeshalizwa sanaaa...Naamini utaipenda na utakuja nunua tena
Bei yakeI usually go for the whole shebang when it comes to Old Spice...
Hiyo bodywash na bodyspray.....babkubwa!
![]()