Body spray ipi ni bora zaidi kwa wanaume?

Body spray ipi ni bora zaidi kwa wanaume?

Daaanh kaka hapa sasa si itakuwa noma mbaya ukitupia na aftershave yake!!!!

Hizi mpya nazipenda sana....hata Foxcrest nayo bab kubwa

300.JPG
 
hii product inapatikana S.H Amon bongo au umeamuwa kuwarusha roho wala vumbi?

Hahaaaa sidhani kama ishafika huko S.H. Amon.....

Kwa sasa waweza zipata Walgreens...CVS....Rite Aid.....na kwingineko kama huko:smile-big:
 
NIVEA DRY IMPACT, for only 5000/ TSHS 36 hrs, unakua saaafi no jasho, no kwapa kunuka, try it utanambia!!
 
Back
Top Bottom