Body Count yako inasoma ngapi mpaka sasa?

Body Count yako inasoma ngapi mpaka sasa?

Habari wana jamii forums
Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa?

For me ni mmoja mpaka sasa naendelea kujitunza mpaka future wife atakapo kuja am waiting for her popote ulipo tambua nakusubri kijana mpole na mwenye hofu na mungu
Mahusiano rasmi tangu nimebalehe ni watano tu, ila ukijumlisha wote friend with benefit, one night stand, kula tunda kimasiahala n.k hapo idadi ni kubwa sana hata sikumbuki
 
Back
Top Bottom