ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,457
- 119,078
Hapa umenipiga changa la macho totoo!!Hapana! Ni mmoja na yeye tulifanya once miaka miwili iliyopita🤸
Hapa umenipiga changa la macho totoo!!Hapana! Ni mmoja na yeye tulifanya once miaka miwili iliyopita🤸
Mwaka wangu wa kuzaliwa ile namba iliyo sehemu ya mamia iplus kwa 3Hapa umenipiga changa la macho totoo!!
😂😂Sijawahi ata, mrembo mmoja umu ajitolee aje kunitoa ushamba
Habari wana jamii forums
Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa?
For me ni mmoja mpaka sasa naendelea kujitunza mpaka future wife atakapo kuja am waiting for her popote ulipo tambua nakusubri kijana mpole na mwenye hofu na mungu![]()
2000 manake 0+3=3, speed yako sio mbaya🤣🤣🤣🤣🤣Mwaka wangu wa kuzaliwa ile namba iliyo sehemu ya mamia iplus kwa 3
Mimi mbona sijazaliwa mwaka huo😎 kumbuka mwaka wangu vizuri usizeeke vibaya2000 manake 0+3=3, speed yako sio mbaya🤣🤣🤣🤣🤣
Vyoyote vile mamia ni sifuri.Mimi mbona sijazaliwa mwaka huo😎 kumbuka mwaka wangu vizuri usizeeke vibaya
Ila mimi mtoto wako bado sijaanza mambo hayo☺️Vyoyote vile mamia ni sifuri.
Aaah wapi, mwambie baba ukweli wala hakuchapi.Ila mimi mtoto wako bado sijaanza mambo hayo☺️
Wahuni sio watu wazuri! Walipita nayo😂 body count mwezi wangu wa kuzaliwa toa 6Aaah wapi, mwambie baba ukweli wala hakuchapi.
Hapo sasa sijui! Usiwaite wahuni, ni stage tu katika maisha lazim mtu apitie, it's totally normal.Wahuni sio watu wazuri! Walipita nayo😂 body count mwezi wangu wa kuzaliwa toa 6
Namba ni ileileHapo sasa sijui! Usiwaite wahuni, ni stage tu katika maisha lazim mtu apitie, it's totally normal.
Sawa mkuu!Namba ni ileile
Haujaacha tu hadi leo 🤣🤣🤣🤣hawazidi 6
kama na nyeto imo basi, 10000+