Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,103
All real number5<x<10
All real number5<x<10
Tumetulia.😀😀😀😀 halafu kweli demu yoyote ukimuuliza ana maex wangapi idadi huwa haivuki mbili
Mimi niliwahi jaribu kuhesabu mwishowe nikanyanyua mikono juu kumshuru Mungu,mana kwa idadi Ile then niko safe🙏🙏🙏🙏 baada ya kuoa sitaki ujinga labda yeye aniue.Kuna kiinua mgongo kinatolewa uko?
Na wewe ukachezewa...Mmoja tuu nayeye alikuwa ananisumbua akaishia kunichezea.
Nyinyi wadada wabongo saaana
Mnajua kujipa moyo 😄Mpyaaaa kabisa, maana hata huyo wa kwanza hamkudumu sana.
Sio kujipa moyo, ila huo ndio uhalisia.Mnajua kujipa moyo 😄
eeh mara moja tu 😂Mpyaaaa kabisa, maana hata huyo wa kwanza hamkudumu sana.
Hiyo mnona ndogo?
Chai17234
Tatizo mnakula madem wabovu. Kula pisi mbovu ni udhalilishaji tu. 🤢Punguza uzembe dogo, at that age ulitakiwa uwe angalau na 50 😄
HayaChai