Mjukuu wa Magika
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 636
- 1,203
Uongo huo!!! Una umri gani?0 bado namtunzia kijana nitakaye letewa kutoka mbinguni.
Uongo huo!!! Una umri gani?0 bado namtunzia kijana nitakaye letewa kutoka mbinguni.
Kumbe ndo ujanja wenu!Mbona umezidisha🙆🙆🙆
Tulikubaliana ni wawili tu, huyo uliyenae ndio wa pili.
Most honest answerMwendokasi ya gerezani- mbezi wakati wa jioni
Old enough😂😂Uongo huo!!! Una umri gani?
Mamdogo we si ulisema una YUTONG 3?body count yangu 3 🌚
Kinachonishangaza, wanume tunajaza mayutong kadhaa, lakini kila mwanamlke anasema yeye mwisho mmoja, sasa hayo mayutong yetu tumejaza na majini?Hapana! Ni mmoja na yeye tulifanya once miaka miwili iliyopita🤸
Au ni kati ya wale 72?0 bado namtunzia kijana nitakaye letewa kutoka mbinguni.
Wapi mkuu?Au ni kati ya wale 72?
hapana jamani ni kabaskeli tuMamdogo we si ulisema una YUTONG 3?
Ya mshikaki..!!hapana jamani ni kabaskeli tu
nyetoni daimaHaujaacha tu hadi leo 🤣🤣🤣🤣
Hongera sanaOld enough😂😂