Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Inashangaza kuwa Bodi imekuwa kimya kuhusu wale wengione waliosimamishwa pamoja nayeAnaondoka peke yake jamani
Inashangaza kuwa Bodi imekuwa kimya kuhusu wale wengione waliosimamishwa pamoja nayeAnaondoka peke yake jamani
Do you really believe wame mfanyia fitna??Maonevu tupu. Nakutakia maisha mema huko uendakako Injinia Mhando. Wamekutenda kwa sababu ya vita vya kimaslahi
Kumwachisha kazi hakuna tofauti na kumstaafisha maana atalipwa haki zake zote. Uamuzi wa haki bodi ingemfukuza na kuamuru afunguliwe mashtaka
Huyu Eng alikuwa kero kubwa sana kiasi kwamba migao yote ilikuwa sababu yake na umeme wa dharura ulikuwa sababu yake pia. Ingekuwa china angenyongwa, Kwa vile ni bongo bora afikishwe mahakamani ili apunguze fedha zake za ufisadi hata kwa kuhonga au kuwalipa mawakili.
Ameachishwa au amefukuzwa? Kuna tofauti gani kati ya haya maneno?
safi lazima atimuliwe tu na bado kunawengine wanafuata
ile kamati iliyovunjwa na bunge ifuate nyayo akianza na Ms Msafiri.
Habari nilizozipata mda si mlefu aliekuwa bosi wa tanesco atimuliwa kazi rasmi nawakilisha