Waziri Biteko ameonesha dira ya uongozi, Tanesco ipo mbioni kuanza kupata faida

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,114
18,337
Wafu wengi wanashindwa kumwelewa Dkt. Biteko, lakini wale ambao wanajua maana ya uongozi wanatambua kipaji alicho nacho kijana huyu.

Tanesco imepata kiongozi na tanesco chini ya biteko inakuja kuwa shirika ambao litashindana na private companies katika kupata faida na kutoa huduma bora kwa wateha wake.

Sasa hivi ukipiga simu tanesco, unapokelewa na watatatua matatizo.

Anafanya kazi kama CEO wa kampuni private, najua wengi watamchukia lakini mwisho utakua mzuri sana..

Ushauri, tanesco mwisho wa mwaka wapewe bonus zinazo tokana na utekelezaji wa KPI walizo pewa.

Wanafanya kazi kubwa sana.

 
Andika hapana.

Hakuna jipya.

Mvinyo mpya kwenye kiriba cha zamani.
 
Walao kati ya watu ambao ninawaamini katika serikali ya Rais Samia ni mh Biteko, kama Mungu akimpa kibali zaidi na wanazengo wakiwa upande wake atafika mbali mno.
 
Back
Top Bottom