Bodi ya Mikopo imefuata siasa katika kutoa mikopo na kusababisha matabaka

Umew
Hujui tu madhira yake..nakumbuku mwaka 2012 namaliza advance private, ada yake ilikuwa juu kidogo m 1.5 +, asilimia kubwa tulioapply loan board tulikosa kwa vigezo hivyohivyo anavyotoa mtoa uzi.

Kuna wengine walikuwa sponsored advance lakini waliishia mtaani baada ya kuwekwa kando kwa kudhaniwa wana uwezo wa kujilipia.
Umeweza kulipa 1.5M unataka mkopo wa nini...
 
Tumeanza kwa mikopo, huenda tutaenda na kwenye ajira kwamba wewe mzazi wako ana uwezo nenda akakuajiri, sisi tutaajiri watoto wa wasiokuwa na uwezo
 
Back
Top Bottom