Bodi ya Mikopo imefuata siasa katika kutoa mikopo na kusababisha matabaka

Unaweza kukuta Bodi ya Wadhamini ya HESLB na Menejimenti yao kama akina Badru, Nyahende n.k yote ni MaCCM!
Ni tatizo la kuchukuwa mtu toka NGO unamleta Bodi ya mikopo unasema wewe ni mkurugenzi mkuu. Anachojua ni uhasibu wa pesa za wafadhiri, reasoning=sifuri!
 
Ni tatizo la kuchukuwa mtu toka NGO unamleta Bodi ya mikopo unasema wewe ni mkurugenzi mkuu. Anachojua ni uhasibu wa pesa za wafadhiri, reasoning=sifuri!
Hivi kumbe Badru alitokea kwenye NGO?
 
Tena iliyozoea kupewa pesa kwa malengo ya wafadhili. Ifakara!!!!! Funny!
Ndiyo maana ana mawazo hasi kwa watoto ambao wazazi wao wanafanya kazi serikalini. na yule Nyahende je alikuwa wapi kabla ya kwenda Bodi?
 
Yaani walipa kodi wazuri ndiyo hawapaswi kuwa wanufaika wa mkopo wale wasiolipa kodi ndiyo wananufaika. Natural right logic hapa inakataa. Walipa kodi wazuri watoto wao wasome bure ili nawengine wajishughulishe na kulipa kodi. si sawa kabisa kufanya ubaguzi wenye sura hii.
 
Yaani walipa kodi wazuri ndiyo hawapaswi kuwa wanufaika wa mkopo wale wasiolipa kodi ndiyo wananufaika. Natural right logic hapa inakataa. Walipa kodi wazuri watoto wao wasome bure ili nawengine wajishughulishe na kulipa kodi. Si sawa kabisa kufanya ubaguzi wenye sura hii.
Hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom