Ya chumvi ipoNasubiria bodi ya chumvi coz ya sukari ipo...
Ya chumvi ipoNasubiria bodi ya chumvi coz ya sukari ipo...
Nimestushwa na kukutana na gari STL pembeni imeandikwa BODI YA MAZIWA daah! hivi kweli tumefikia hatua ya kuunda BODI MAALUM Kwa ajili ya MAZIWA (naamini wanamaanisha haya maziwa ya KUNYWA kupitia mdomoni) hapo hapo tuna TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE (TFNC) nao wanapata bajet nenee!!
Mgao wa magari ya kutosha bila kusahau safari za nje ya nchi. Hapo hapo tuna TANZANIA FOOD & DRUGS AUTHORITY (TFDA) nao vile vile tiripu za nje kama kawa, VX za kutosha. Jamani tuoneeni huruma sisi walipa kodi maskini. TUMEROGWA??
Katika website yao wanajipapanua kuwa wao ni asasi ya serikali.mkuu kwa uelewa wangu bodi ya maziwa si asasi ya kiserikali hii ni sekta binafsi. inapatikana hasa sehemu zenye mifugo ng'ombe wengi nadhani chimbuko lake ni kiwanda cha Tanga fresh. lengo la hii bodi ni kujadiri na kushauriana kuhusu changamoto zinazowakumba wafugaji wa Ng'ombe. ikiwa ni pamoja na kushauriana aina ya Ng'ombe wanaofaa kwa kufuga hasa kwa maziwa mengi. nilibahatika kuhudhuria kikao chao huko Tanga. nikagunda hayo vile vile bodi hiyo inahusika na uhuzaji wa vifaa mbali mbali vya kuhifadhia maziwa kwa muda mrefu. vile vile bodi hiyo hiyo wanao mtandao unamsababisha mwanabodi kuazima ng'ombe kwaajiri ya kupandisha ili kupata mbegu ya Ng'ombe fulani/ kuuza jamii fulani ya Ng'ombe.hivyo mtoa mada nilitgemea ungeuliza kuhusu hii bodi ya maziwa badala yake umekuja kuzungumzia kitu usichokijua.
Ni bodi ya kupeana Ulaji tu. Hawa na wale Tanzania Foods & Nutririon Centre (TFNC) wanakula maisha tu na mgao wa wa Mashangingi upo pia kwao.Hiyo bodi inatoa maziwa au ? Kama hawatoi maziwa hawatakiwi kuwepo.
Bora bodi hiyo isimamiwe na Ng'ombe.