SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
BODI YA NGOZI, PEMBE NA KWATO ZA NG'OMBE (BP-KN)
Hii bodi inahakikisha kila mtu anapata walau kikombe kimoja cha maziwa kwa siku..
Kila lita ya maziwa unayokunywa wenyewe wanapata mgao. Na kuna siku ya maziwa ilizinduliwa kwa mbwembwe nyiiingi na mmoja wa watu mashuhuri na ilinishangaza sana tunaanzisha bodi ya maziwa na wanyama wana mazao mengi, sasa sijui tutaanzisha Bodi ya ngozi, Bodi ya Pembe, Bodi ya Nyama, Bodi ya Kwato na Makongoro, Bodi ya......... Hatari sanaBODI YA MAZIWA Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Semina elekezi wiki 3 ARGENTINA (tiketi ya ndege=3,500 USD, malazi@200 USDx21days=4200USD , Per Diem x 21 days@420 USD=8820 USD) JUMLA KUU=16520 USD/pp. Hapo sijahesabia ada iliyotumwa moja kwa moja Chuoni/taasisi inayotoa mafunzo huko nje ya nchi. Nchi hii imeliwa haswaaa!!!
Je imefanya nn cha kujivunia, ndio tunajua hizo ni kazi zake ila wamefanya nn au ni kulipwa mpunga baasiUnaweza tafakari kwa nini kuna bodi ya KAHAWA, KOROSHO, PAMBA, SUKARI, nk?
Unajua kwamba maziwa ni zao litokanalo na mifugo na linahitaji kutafutiwa uwekezaji, masoko ya kutosha, na uhamasishaji wa watu kujikita ktk kufuga ng'ombe wa maziwa ili kuongeza uzalishaji ktk kutimiza mahitaji ya soko?
Hivi umewahi jiuliza kwa nini maziwa mengi yaliyosindikwq yanatoka nje ya nchi?
Maziwa kama yalivyo mazao mengine ni zao litokanalo na mifugo ambalo linahitaji uwekezaji mkubwa ili liweze kuzalisha ajira za kutosha. Ili kufikia kusudio hilo lazima kuwe na chombo cha kuratibu na kusimamia zao hilo nacho ni BODI YA MAZIWA
Tafakari kwa kina utaona umuhimu wa bodi kama hizi
Updates
Unafikiri kuna umuhimu wowote wa BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU? kwanini kazi hiyo isifanywe na WIZARA YA FEDHA kushirikiana na TCU na vyuo husika? je nao ni ufujaji wa fedha?
Endelea kutafakari
Eeeeh ni kazi ya kupeana ulajiKuna mdau kasema kuna bodi ya uji
Je imefanya nn cha kujivunia, ndio tunajua hizo ni kazi zake ila wamefanya nn au ni kulipwa mpunga baasi
Wanaumuhimu mkubwa sana ila may be hawafanyi Yale yawapasaya kufanya na ndio maana zinaonekana kuwa hazima maana kuwepo ila kumbe tatizo c bodi ila ni watendaji maana km hawajui yawapasaya kufanyaHizo ndizo hoja za kujenga (WAMEFANYA NINI?), lakini siyo kusema hawana umuhimu.
Nimestushwa na kukutana na gari STL pembeni imeandikwa BODI YA MAZIWA daah! hivi kweli tumefikia hatua ya kuunda BODI MAALUM Kwa ajili ya MAZIWA (naamini wanamaanisha haya maziwa ya KUNYWA kupitia mdomoni) hapo hapo tuna TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE (TFNC) nao wanapata bajet nenee!!
Mgao wa magari ya kutosha bila kusahau safari za nje ya nchi. Hapo hapo tuna TANZANIA FOOD & DRUGS AUTHORITY (TFDA) nao vile vile tiripu za nje kama kawa, VX za kutosha. Jamani tuoneeni huruma sisi walipa kodi maskini. TUMEROGWA??