and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,223
- 39,702
- Thread starter
- #141
Tunahitaji maziwa ya Ngamia kututoa hali ya uvivu watanzania
Sasa hio bodi inawalisha watoto maziwa?Mie kwangu naona iko sahihi. Kwanza tofautisha kati ya vitu vya muhimu na vitu vya muhimu zaidi. Mfano mtoto mdogo akizaliwa afu kwa bahati mbaya mama akafaliki huwa nalishwa nyama au dagaa? Hapo ndipo utajua kuwa maziwa ni kitu cha muhimu. Nakumbuka kuwa hasa watoto wanapotumia maziwa kwa wingi huwa na afya bora na uelewa mkubwa darasani
Na bodi ya madanguroTuunde pia bodi ya kuratibu Nyumba za wageni mijini
Hii bodi inahakikisha kila mtu anapata walau kikombe kimoja cha maziwa kwa siku..
ha ha ukiwa na mtoto utajua tuSasa hio bodi inawalisha watoto maziwa?
Hilo kila mtu analifahamu, anachotaka kujua mtoa mada hiyo bodi ya kazi gani wakati kuna mamlaka zingine zinaweza kusimamia hilo la maziwa.Jaribu kutafuta umuhimu wa maziwa kwa afya ndo utajua kwanin kuna bodi ya mazima!
Kwa hiyo na Mayai nayo yaundiwe Bodi yake,kutokana na umuhimu wake itwe Bodi ya Mayai.Jaribu kutafuta umuhimu wa maziwa kwa afya ndo utajua kwanin kuna bodi ya mazima!
Kweli huu ni upuuz Mkuu,kwa hyo ana maanisha Bodi isipokuwepo na Maziwa hayapoAcha kukumbatia upumbavu wewe.
Jiongeze kidogo
Mkuu,nipatie faida ya Bodi ya Maziwa kwa mazingira ya sasaIvi unahisi mie ********. Unajua maana ya neno ********?. Pengine tu kwa ushauri. Ata hao walio unda hiyo BODI walikuwa na maono makubwa sana. Unge kuwa mwalimu ( sifahamu taaruma yako) ungeniunga mkono. Kufundisha mtoto mwenye utapiamlo na mtoto ambaye lishe haikuzingatiwa tangu akiwa mdogo ni shida sana. Pia maziwa yana kazi nyingi sana mbali na kuwa chanzo muhimu cha lishe kwa watoto ( protein)
Swali la msingi kabisa hili,kwa wanaounga Bodi ya Maziwa kuwepoUnaweza kuwa sahihi kqa hiki unachosema lkn uwepo wake umeleta Tija gani mpaka sasa