Bodi ya Maziwa Tanzania ya nini?

Bodi ya Maziwa Tanzania ya nini?

ili kazi za bodi ya maziwa zifanywe na TFNC au TFDA hapo inabidi sheria za kuunda hizo taasisi zibadilishwe na pengine lengo la kuunda bodi ya Maziwa lisifikiwe kama ilivyo kusudiwa
Unaweza kutujuza lengo la kuanzishwa bodi ya maziwa?
 
Ni chombo kinacho hakikisha akina mama maziwa yao hayanyonywi ovyo na wanaume
 
Import maziwa yawe in form of powder, UHT or fresh nchini ndio utawatambua. Wanataka Tshs 2000 per ltr/kg kama ni ada zao ndio upate permit itakayokuruhusu kupata release ya kutowa mzigo bandarini. These guys are insane!
 
Import maziwa yawe in form of powder, UHT or fresh nchini ndio utawatambua. Wanataka Tshs 2000 per ltr/kg kama ni ada zao ndio upate permit itakayokuruhusu kupata release ya kutowa mzigo bandarini. These guys are insane!
kumbe ukiajiriwa humo posho hukosi!
 
Mie kwangu naona iko sahihi. Kwanza tofautisha kati ya vitu vya muhimu na vitu vya muhimu zaidi. Mfano mtoto mdogo akizaliwa afu kwa bahati mbaya mama akafaliki huwa nalishwa nyama au dagaa? Hapo ndipo utajua kuwa maziwa ni kitu cha muhimu. Nakumbuka kuwa hasa watoto wanapotumia maziwa kwa wingi huwa na afya bora na uelewa mkubwa darasani
Tena maziwa ya ng'ombe kwa Watoto si mazuri, mtafute mtaalamu wa afya akueleze. Protini iliyopo ni nyingi sana, haifai kwa mtoto.

Mengine uliyoandika ni pumba
 
Maziwa ni kitu muhimu saana kwa nchi.
1.Hivi unafahamu kuwa kuna sheria ya maalum inayohusu uzalishaji maziwa tuu
2.Hivi unafahamu kuna degree kama pale SUA inaitwa "Crematology" hiyo inahusu maziwa na bidhaa zake tuu.
Nilimkuta Mholanzi mmoja analipwa 180m kwa mwezi ktk hivi viwanda vya maziwa hapa Tz yeye ana hiyo degree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom