Unamaanisha Taaluma ya maziwa?Watu humu wamekalia siasa na ujuaji wakisahau kuwa kuanzishwa kwa bodi ya maziwa kumezingatia taaluma, wenyewe wanafikiri serikali inaenda kimaoni maoni tu
Unamaanisha Taaluma ya maziwa?
Issue sio watoto kunywa au kutokunywa maziwa, issue utitiri wa bordy. Km alivyosema mdau mmoja hapo juu ng'ombe mmoja kuundiwa bordy kibao. Hivi maziwa ni chakula au sio Chakula? Kama ipo bordy ya Chakula kwann ziongezwe bordy zengine zenye kufanana majukumu? Hafu ukiona bord haitambuliki na watu wengi ujue haina kazi au haitimizi wajibu wake ipasavyo. Binafsi ndo Kwanza nimesikia leo kupitia huu uzi. Kama kweli jukumu lao kuhakikisha kila mwananchi anapata angalau kikombe kimoja cha maziwa, iweje watu wengi hawana taarifa juu ya hii bordy?Ivi unahisi mie mpumbavu. Unajua maana ya neno mpumbavu?. Pengine tu kwa ushauri. Ata hao walio unda hiyo BODI walikuwa na maono makubwa sana. Unge kuwa mwalimu ( sifahamu taaruma yako) ungeniunga mkono. Kufundisha mtoto mwenye utapiamlo na mtoto ambaye lishe haikuzingatiwa tangu akiwa mdogo ni shida sana. Pia maziwa yana kazi nyingi sana mbali na kuwa chanzo muhimu cha lishe kwa watoto ( protein)
Bodi ya vyeti feki
Unashangaa ya Maziwa wakati wanywa viroba wanampango wakuomba viroba virejeshwe na Bodi ya viroba iundwe haraka eboh!😉😉😉😀😀😀
Akafaliki × =Akafariki√Mie kwangu naona iko sahihi. Kwanza tofautisha kati ya vitu vya muhimu na vitu vya muhimu zaidi. Mfano mtoto mdogo akizaliwa afu kwa bahati mbaya mama akafaliki huwa nalishwa nyama au dagaa? Hapo ndipo utajua kuwa maziwa ni kitu cha muhimu. Nakumbuka kuwa hasa watoto wanapotumia maziwa kwa wingi huwa na afya bora na uelewa mkubwa darasani
Per diem si nasikia Mkemia kazifuta ama?Lini wanaadhimisha SIKUKUU YA KUNYWA MAZIWA tupate t-shirt na Kofia? Na per diem?
NB: na safari za Netherlands kwenda kujifunza ukamuaji maziwa huku unaangalia movie.
Ndio mkuu tunahamia soon!Hivi wafanyakazi wa hii bodi nao wanahamia Dodoma?