BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,104
- 14,026
- Thread starter
- #21
Unafaidika nini wakifa?? Wale ni ndugu, wazazi, watoto wa watuAcha wafe washenzi sana
Unafaidika nini wakifa?? Wale ni ndugu, wazazi, watoto wa watuAcha wafe washenzi sana
BabaMorgan kwa picha ya haraka unaweza kuwatetea bodaboda na kuwalaumu wanaowalaumu bodaboda hasa kwenye hizi ajali za barabarani.. Lakini bodaboda ni pasua kichwa hasa japo sio woteLeo asubuhi pametokea ajali maeneo ya DIT iliyohusisha basi la Mwendokasi na Pikipiki maarufu Bodaboda sina details za kutosha kuhusu madhara yaliyotokea kwa maana ya majeruhi au kama kuna kifo chochote lakini so far ni ajali mbaya maana time niliyokuwa napita basi la Mwendokasi lilikuwa linapigwa jeki na Pikipiki inatolewa chini ya uvungu mwa basi.
Kila mtu baada ya kuona mazingira yale alikuwa anatoa lawama kwa dereva bodaboda bila hata ya kuwa na picha halisi ya kile kilichotokea mpaka kusababisha ajali..
It's like ajali yoyote itakayohusisha bodaboda basi lawama zote atatupiwa bodaboda huu ni uonevu wa kiwango cha juu sio bodaboda wote hawaobey sheria za barabarani na sio kila dereva wa gari yupo perfect asilimia mia.
Tuheshimu Bodaboda nao ni Binadamu licha ya kuwa na mapungufu yao lakini still wana mema yao kama walivyo Binadamu wengine as long unajua kuendesha Pikipiki inabidi uwe mstari wa mbele kutetea bodaboda maana siku unaweza kuwa kwenye mizunguko yako ukapata mushikeli waka kuhukumu kama wanavyowahukumu bodaboda.
🤣🤣🤣hawa boda boda wa dar wana haraka sana kuna siku nimetoroka chuo mkoani nikaenda dar lengo nifike kariakoo nikashuka ubungo nikabageini na boda boda anifikishe apo napotaka kwenda kwa haraka zake akaingia kwe bara bara ya mwendo kasi atujatembea ata mita 500 bus la mwendokas linakuja nyuma mungu tu alisaidia akapata kisehemu cha kuchepukia kama sio ivo ilikua tayar maj yashazid unga
Kama ulimwambia akukimbize chap Kariakoo ulitegemea nini? Ndio maana wanashauri na wewe kama abiria kuchukua tahadhari unapoona dereva wako anakiuka sheriahawa boda boda wa dar wana haraka sana kuna siku nimetoroka chuo mkoani nikaenda dar lengo nifike kariakoo nikashuka ubungo nikabageini na boda boda anifikishe apo napotaka kwenda kwa haraka zake akaingia kwe bara bara ya mwendo kasi atujatembea ata mita 500 bus la mwendokas linakuja nyuma mungu tu alisaidia akapata kisehemu cha kuchepukia kama sio ivo ilikua tayar maj yashazid unga
Baba mogani siku ukiendesha gari ndio utajuwa hawa jamaa ni washenzi kiasi gani.Leo asubuhi pametokea ajali maeneo ya DIT iliyohusisha basi la Mwendokasi na Pikipiki maarufu Bodaboda sina details za kutosha kuhusu madhara yaliyotokea kwa maana ya majeruhi au kama kuna kifo chochote lakini so far ni ajali mbaya maana time niliyokuwa napita basi la Mwendokasi lilikuwa linapigwa jeki na Pikipiki inatolewa chini ya uvungu mwa basi.
Kila mtu baada ya kuona mazingira yale alikuwa anatoa lawama kwa dereva bodaboda bila hata ya kuwa na picha halisi ya kile kilichotokea mpaka kusababisha ajali.
It's like ajali yoyote itakayohusisha bodaboda basi lawama zote atatupiwa bodaboda huu ni uonevu wa kiwango cha juu sio bodaboda wote hawaobey sheria za barabarani na sio kila dereva wa gari yupo perfect asilimia mia.
Tuheshimu Bodaboda nao ni Binadamu licha ya kuwa na mapungufu yao lakini still wana mema yao kama walivyo Binadamu wengine as long unajua kuendesha Pikipiki inabidi uwe mstari wa mbele kutetea bodaboda maana siku unaweza kuwa kwenye mizunguko yako ukapata mushikeli waka kuhukumu kama wanavyowahukumu bodaboda.
Nakubaliana na wewe mkuu.. je kila panapotokea ajali inayohusisha bodaboda mwenye makosa anakuwa bodaboda peke yake??BabaMorgan kwa picha ya haraka unaweza kuwatetea bodaboda na kuwalaumu wanaowalaumu bodaboda hasa kwenye hizi ajali za barabarani.. Lakini bodaboda ni pasua kichwa hasa japo sio wote
Tunacholaumu wengi wetu ni matokeo na sio chanzo ama asili ya tatizo
Maono kimo cha mbilikimo ya mamlaka ya kisiasa ndio asili kuu. Ili kupunguza kelele za ajira wakaamua kuruhusu biashara huria ya pikipiki kama aina ya usafiri wa haraka bila maandalizi ya kutosha na bila kujali viwango vya chombo husika
Mwendelezo wa tatizo ni pale kijana asiye na mafunzo kamili na sahihi kukabidhiwa chombo cha moto kwa ajili ya biashara ya kubeba binadamu
Huyu kijana hana mafunzo kamili na sahihi ya kuendesha chombo cha moto, sheria na kanuni za barabarani, usalama wake na wa wengine, elimu ya uchumi nk.. Na hii yote inasababishwa na uwezo wa kifedha,, mafunzo ya udereva yanahitaji hela na kijana hana
Rushwa na ufisadi
Ili kijana athibitishwe ni dereva na amefuzu mafunzo ya udereva na kufaulu anahitaji nyaraka zinazothibitisha hilo.!! Leseni.. Kuipata leseni kwa kufuata utaratibu wa kisheria kunachukua muda na ni gharama
Kupitia vishoka na watendaji wa mamlaka ya mapato na jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani wasiojali usalama wa raia na mali zao kijana anapata leseni chap kwa haraka na kwa bei poa
Kuna ukiukwaji mkubwa sana kwenye kupata leseni za udereva
Sasa kijana ana leseni na ana chombo cha moto anaanza biashara bila kufahamu walau kanuni moja tu ya kupita makutano ya barabara penye taa nyekundu
Majumuisho haya ya wanasiasa, watendaji wa serikali wasio waaminifu na vijana wasio na ajira matokeo yake ndio haya ya ajali zisizokoma, zinazoteketeza nguvu kazi ya taifa na kuleta uhujumu mkubwa wa uchumi kupitia vifaa tiba, vilema, uharibu wa vyombo na vifo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio zote lakini asilimia 90 ni bodabodaNakubaliana na wewe mkuu.. je kila panapotokea ajali inayohusisha bodaboda mwenye makosa anakuwa bodaboda peke yake??
Hizi lawama inabidi ziende na kwa watumiaji wengine wa barabara kama madereva kwa vile wao sio victim ndio maana tunawaona bodaboda kama wanamakosa.
Sasa pikipiki inahadhi ya gariMi kinachonipa hasira ni madereva wa magari wanapowapigia honi waendesha pikipiki wapishwe ili wapite. Wakati hivyo vyombo vyote vina hadhi sawa barabarani.
Mi kinachonipa hasira ni madereva wa magari wanapowapigia honi waendesha pikipiki wapishwe ili wapite. Wakati hivyo vyombo vyote vina hadhi sawa barabarani.
Huko chini ya basi iliiona na gari ndogo ikiwa imekandamizwa? Kama hakuna jiulize kwanini gari zilisimama bodaboda akaingia.Leo asubuhi pametokea ajali maeneo ya DIT iliyohusisha basi la Mwendokasi na Pikipiki maarufu Bodaboda sina details za kutosha kuhusu madhara yaliyotokea kwa maana ya majeruhi au kama kuna kifo chochote lakini so far ni ajali mbaya maana time niliyokuwa napita basi la Mwendokasi lilikuwa linapigwa jeki na Pikipiki inatolewa chini ya uvungu mwa basi.
Kila mtu baada ya kuona mazingira yale alikuwa anatoa lawama kwa dereva bodaboda bila hata ya kuwa na picha halisi ya kile kilichotokea mpaka kusababisha ajali.
It's like ajali yoyote itakayohusisha bodaboda basi lawama zote atatupiwa bodaboda huu ni uonevu wa kiwango cha juu sio bodaboda wote hawaobey sheria za barabarani na sio kila dereva wa gari yupo perfect asilimia mia.
Tuheshimu Bodaboda nao ni Binadamu licha ya kuwa na mapungufu yao lakini still wana mema yao kama walivyo Binadamu wengine as long unajua kuendesha Pikipiki inabidi uwe mstari wa mbele kutetea bodaboda maana siku unaweza kuwa kwenye mizunguko yako ukapata mushikeli waka kuhukumu kama wanavyowahukumu bodaboda.
Kwanza kabisa kwa clip iliyorushwa nitoe pole kwa huyo boda boda kama bado ni mzima Mungu ampe nafuu apone haraka ila kama vinginevyo basi naoumba Mungu amjalie pumziko jema.Leo asubuhi pametokea ajali maeneo ya DIT iliyohusisha basi la Mwendokasi na Pikipiki maarufu Bodaboda sina details za kutosha kuhusu madhara yaliyotokea kwa maana ya majeruhi au kama kuna kifo chochote lakini so far ni ajali mbaya maana time niliyokuwa napita basi la Mwendokasi lilikuwa linapigwa jeki na Pikipiki inatolewa chini ya uvungu mwa basi.
Kila mtu baada ya kuona mazingira yale alikuwa anatoa lawama kwa dereva bodaboda bila hata ya kuwa na picha halisi ya kile kilichotokea mpaka kusababisha ajali.
It's like ajali yoyote itakayohusisha bodaboda basi lawama zote atatupiwa bodaboda huu ni uonevu wa kiwango cha juu sio bodaboda wote hawaobey sheria za barabarani na sio kila dereva wa gari yupo perfect asilimia mia.
Tuheshimu Bodaboda nao ni Binadamu licha ya kuwa na mapungufu yao lakini still wana mema yao kama walivyo Binadamu wengine as long unajua kuendesha Pikipiki inabidi uwe mstari wa mbele kutetea bodaboda maana siku unaweza kuwa kwenye mizunguko yako ukapata mushikeli waka kuhukumu kama wanavyowahukumu bodaboda.
Boda boda wanakufa sana kwa ujinga wao na kiburi.Leo asubuhi pametokea ajali maeneo ya DIT iliyohusisha basi la Mwendokasi na Pikipiki maarufu Bodaboda sina details za kutosha kuhusu madhara yaliyotokea kwa maana ya majeruhi au kama kuna kifo chochote lakini so far ni ajali mbaya maana time niliyokuwa napita basi la Mwendokasi lilikuwa linapigwa jeki na Pikipiki inatolewa chini ya uvungu mwa basi.
Kila mtu baada ya kuona mazingira yale alikuwa anatoa lawama kwa dereva bodaboda bila hata ya kuwa na picha halisi ya kile kilichotokea mpaka kusababisha ajali.
It's like ajali yoyote itakayohusisha bodaboda basi lawama zote atatupiwa bodaboda huu ni uonevu wa kiwango cha juu sio bodaboda wote hawaobey sheria za barabarani na sio kila dereva wa gari yupo perfect asilimia mia.
Tuheshimu Bodaboda nao ni Binadamu licha ya kuwa na mapungufu yao lakini still wana mema yao kama walivyo Binadamu wengine as long unajua kuendesha Pikipiki inabidi uwe mstari wa mbele kutetea bodaboda maana siku unaweza kuwa kwenye mizunguko yako ukapata mushikeli waka kuhukumu kama wanavyowahukumu bodaboda.
siyo tu hadhi hata kodi sijui kama wanalipa lipa ila wanataka walipaji wa kodi tuwasubiri watanue barabarani kwa mbwembwe wakati wenzao tunaenda tafuta pesa za kulipa kodi.Kaa kushoto upishe wenye kuchangia kodi tupite kwanzaSasa pikipiki inahadhi ya gari