Bodaboda hawana Haki

Bodaboda hawana Haki

It's like ajali yoyote itakayohusisha bodaboda basi lawama zote atatupiwa bodaboda huu ni uonevu wa kiwango cha juu sio bodaboda wote hawaobey sheria za barabarani na sio kila dereva wa gari yupo perfect asilimia mia.
Polisi wamesema bodaboda alipita na taa nyekundu, sasa huo uonezi kaonewa na nani?
 
Huwajui boda boda vzr
Nakazia
Hawajui boda vizuri, hasa hawa wa Morogoro road.
Bodaboda kiukweli wanakera mno.

Madereva wa mwendokasi wanapitia kero nyingi za boda
Wanakwepa mishale mingi,, hadi Kuna muda hasira inakushika abiria, namna boda anavyozifyatua akili zake pale barabarani.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli vina hadhi sawa ila hata gari kama Haina mwendo sana inakaa upande kupisha wanaenda Kasi wapite.

Unakuta boda boda anaendesha taratibu mbele Yako, barabara Pana, na hajali kabisa kama Yuko peke yake barabara nzima. Hapo kinachotakiwa aendeshe upande urakaoruhusu gari kupita bila kusumbuana.
Unakuta yametanda njia nzima kama maandamano wao na bajaji
 
Unakuta yametanda njia nzima kama maandamano wao na bajaji

Inabidi uwe mpole huku unawaza, kosa lolote likifanyika hapa si mwenye bodaboda ndio yupo kwenye hatari ya kupoteza uhai au kuumia? Lakini wao hawajifikirii kabisa. Wanaamua maamuzi ya ajabu utafikiri Wana maisha na viungo vya akiba.
 
Nakazia
Hawajui boda vizuri, hasa hawa wa Morogoro road.
Bodaboda kiukweli wanakera mno.

Madereva wa mwendokasi wanapitia kero nyingi za boda
Wanakwepa mishale mingi,, hadi Kuna muda hasira inakushika abiria, namna boda anavyozifyatua akili zake pale barabarani.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Boda boda ni changamoto sana ukutane nae zebra anaendesha kama kichaaa hajali kama Kuna watu wanavuka

Kwa upande wa Moro goro road mamlaka zetu zimekaa kusaka kura tu kitu kama hicho hawawezi fanya, na wangeamua bas wasiishie kwenye boda boda tu baadhi ya vyombo vya moto viwe ristricted kuingia posta na baadhi Kwa mda wa mchana visiruhusiwe kuingia kariakoo (hapa na mengi sana ya kuandika kutokana na uzoefu wangu kariakoo bas tu mm sio mwandishi mzuri)
 
Kweli
Kariakoo na posta ni janga jingine ambalo litafumuka muda wowote.

Kwanza huwa wanaenda opposite direction, hawajali watembea Kwa miguu.. magari yanasimama zebra watu wapite, anatoka mpumbavu Moja na boda yake anakatisha anataka kugonga watu.

Kwa kweli bodaboda hapana.
 
Inabidi uwe mpole huku unawaza, kosa lolote likifanyika hapa si mwenye bodaboda ndio yupo kwenye hatari ya kupoteza uhai au kuumia? Lakini wao hawajifikirii kabisa. Wanaamua maamuzi ya ajabu utafikiri Wana maisha na viungo vya akiba.
Ndugu zao huko kijijini wangekuwa wanashuhudia manuva wanavyofanya huku barabarani Hawa bodaboda
Akiyanani wangewabeba warudi nao vijijini.

Kuna muda unashika kichwa, unawawazia ndugu zake.
 
Kweli
Kariakoo na posta ni janga jingine ambalo litafumuka muda wowote.

Kwanza huwa wanaenda opposite direction, hawajali watembea Kwa miguu.. magari yanasimama zebra watu wapite, anatoka mpumbavu Moja na boda yake anakatisha anataka kugonga watu.

Kwa kweli bodaboda hapana.
Ajali nyingi zinachangiwa na usimamizi mbovu hili la boda boda, kuruhusu magari kupaki kwenye bara bara za mtaani hasa kariakoo unakuta gari linaingia hadi sokoni kbs🤔🤔
 
Boda boda ni changamoto sana ukutane nae zebra anaendesha kama kichaaa hajali kama Kuna watu wanavuka

Kwa upande wa Moro goro road mamlaka zetu zimekaa kusaka kura tu kitu kama hicho hawawezi fanya, na wangeamua bas wasiishie kwenye boda boda tu baadhi ya vyombo vya moto viwe ristricted kuingia posta na baadhi Kwa mda wa mchana visiruhusiwe kuingia kariakoo (hapa na mengi sana ya kuandika kutokana na uzoefu wangu kariakoo bas tu mm sio mwandishi mzuri)
Utakuta yupo nyuma ya gari halafu anampigia honi ili apishwe,pia sijui kama huwa wana breki
 
Ndugu zao huko kijijini wangekuwa wanashuhudia manuva wanavyofanya huku barabarani Hawa bodaboda
Akiyanani wangewabeba warudi nao vijijini.

Kuna muda unashika kichwa, unawawazia ndugu zake.
Mwache huyo anaongea, binafsi npo napambania afya hapa wiki ya pili siendi kazini kisa kichaa Moja alikua anaendesha gari Kwa speed kubwa na hayupo site yake kubalance mambo ikabidi aforce kupenya akaniparamia
 
Leo asubuhi pametokea ajali maeneo ya DIT iliyohusisha basi la Mwendokasi na Pikipiki maarufu Bodaboda sina details za kutosha kuhusu madhara yaliyotokea kwa maana ya majeruhi au kama kuna kifo chochote lakini so far ni ajali mbaya maana time niliyokuwa napita basi la Mwendokasi lilikuwa linapigwa jeki na Pikipiki inatolewa chini ya uvungu mwa basi.

Kila mtu baada ya kuona mazingira yale alikuwa anatoa lawama kwa dereva bodaboda bila hata ya kuwa na picha halisi ya kile kilichotokea mpaka kusababisha ajali.

It's like ajali yoyote itakayohusisha bodaboda basi lawama zote atatupiwa bodaboda huu ni uonevu wa kiwango cha juu sio bodaboda wote hawaobey sheria za barabarani na sio kila dereva wa gari yupo perfect asilimia mia.

Tuheshimu Bodaboda nao ni Binadamu licha ya kuwa na mapungufu yao lakini still wana mema yao kama walivyo Binadamu wengine as long unajua kuendesha Pikipiki inabidi uwe mstari wa mbele kutetea bodaboda maana siku unaweza kuwa kwenye mizunguko yako ukapata mushikeli waka kuhukumu kama wanavyowahukumu bodaboda.
Mabasi ya mwendo kasi yana barabala zake gali boda bajaji hawaruhusiwi kupita ilivyo boda atakua aliamua kuchepuka kwenye pundamilia kakutana nayo au alitaka kuwahi

Lazima walaumiwe wanasababisha watu ulemavu asio wa lazima pia polisi ndio wanao waleo kwa kuchukua kwao 2000 usiombe hajari ya bodaboda iingie kwenye familia yako ni hatari watu wanauza walivio naviyo hili kunitibisha mpaka majerui kupona familia ilisha kuwa masikini

Huku mama samia akifurahia kuongezeka ajira ukigusa hospitali kama huna hela ya kuanzia 1000,000/mguu wanaukata ila wapo boda wachache sana walio wengi ni hatari
 
Mwache huyo anaongea, binafsi npo napambania afya hapa wiki ya pili siendi kazini kisa kichaa Moja alikua anaendesha gari Kwa speed kubwa na hayupo site yake kubalance mambo ikabidi aforce kupenya akaniparamia
Pole sana Mkuu,
Mungu akuponye.
 
Mi kinachonipa hasira ni madereva wa magari wanapowapigia honi waendesha pikipiki wapishwe ili wapite. Wakati hivyo vyombo vyote vina hadhi sawa barabarani.
Niliona Lori/Tipa la Mchanga/Kokoto huku linaipigia honi Bajaj Ina abiria 5 ndani na Barabara ni ya vumbi ipo kwenye marekebisho wanamwaga kokoto ningechukua clip ningeweka hapa, unaambiwa jamaa wa Lori au Tipa alipopita tu hawa nyuma aliwaachia vumbi hatari yaan wale abiria na dereva wa Bajaj walioga vumbi bila kupenda kiasi cha kushindwa kuona njia mbele ikabidi dereva asimame tu kusubiria vumbi lipungue kwanza ndio atembee maana mbele ni vumbi zito haoni kitu
 
kuna muda natamani wizara husika, ama sekta husika zingewapeleka boda boda kujifunza Kigali Rwanda. Kila dereva na abiria lazima avae helmet, na ni wasafiri wawili tuu (dereva na abiria) kwa boda boda

Pia, madereva wa magari akikutwa amelewa ni jela siku 5/7 na fine juu. Wengi hupaki magari na kutumia usafiri wa uma kwenda kwenye burudani
Tatizo serikali ya tz inachukulia bodaboda kisiasa lakini wanaumiza watu sana hasa uchaguzi ukikaribia polisi barabalani boda boda ni mradi wao hela wanazo pata ninuingi kuliko faini wanazo pigwa kama wangekuwa wanawapinga faini upumbafu huu usinge kuwepo
 
Boda boda akili hawana hata kidogo hata kwa mwenye leseni,wao sheria za usalama barabarani haziwahusu,haraka za kwao,taa si kitu,kupita njia isiyo sahihi wao.Sasa unasemaje hawana haki, mengi wanakitaka wenyewe.Mimi lawama kwao,ukiwa dereva njiani utalitambua hili kwa uzuri zaidi
Boda boda pote nchi hii hasa dar wanajivunia sh 2000 ya kuwapa usalama barabalani pia serikali inawaunga mkono mfano upakiaji wa mishikaki ulihalalishwa na waziri wa mambo ya ndani kangi rogola na kuwa zuia polisi tigo kuwa kamata matokeo yake watu wanazidi kuwa vilema afadhari huyo kafa peke yake
 
Back
Top Bottom