BodaBoda date-out or delivery?

Mjukuu naona lengo lako ni sisi Wanaume tusio na magari tuachwe sioπŸ€ͺ

Miaka yetu ya 47 out ilikuwa mnatembea kwa miguu mnaenda vijiji jirani huko mbali

Hapo bibi zenu wametia nywele "kalkiti" huku amevaa kitenge kipya mnatembea mnashikana mikono

Mchawi ni mvua tu, maana curly hairstyles hazihitaji kunyeshewa mvua

Miaka hii usipokuwa na gari na unamiliki msichana mrembo, basi jiandae kuchapiwa na wenye magari πŸ™Œ
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Si ndo hivo Babu yangu kipenzi
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Si ndo hivo Babu yangu kipenzi
Kwa kweli ukiwa na baby mkali na hauna usafiri (gari), kama mkeo hatokuwa anajiheshimu possiblity ya yeye kuliwa na wenye magari ni kubwa sana hasa kwa nyakati hizi

Sisi zamani tamaa ya bibi zenu ilikuwa kwa Wanaume waliokuwa wanamiliki baiskeli, maana magari tuliyokuwa tukiyaona yalikuwa ni ya Serikali tu πŸ˜…
 
Gari hata kama ndogo au mbaya Ina umuhimu wake 😝
 
Kama Mo alipanda boda awahi kikao(alishachelewa), ERoni ni nani, yaani mkidis bodaboda mjue mnaigusa jamii kubwa sana ya watanzania.

Wengi hapa sio wa date-out, ni delivery kama ilivyo hoja ya mleta mada!!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Karibu wote 😝
 
Na sisi tunao zurura kwa miguu km Waha wakopesha vyombo, tunakaa upande upi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mpaka huko wapo?
Kumbe ni nchi nzima.

Sasa ukifika si utakuwa umechoka sana 😝
Hutaweza ku perform vizuri
 
Ndiyo,ingekuwa ajali mbaya,niliona navutwa nguo imejiviliga kwenye taili,uzuri kitambaa kulikuwa laini yaani ok likiwa inachanika,,,,nikamshtua boda😁😁,gauni limebaki robo
Sasa ulifanyaje baada ya hapo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kama huna hela hata mboo haitakiwi kusimama....
Ni kosa kisheria,tumeliongea Sana hili kwenye vikao vyetu wanaume
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…