Bob Marley aliamini Mungu kweli?

From what I know Bob alimuamini sana Mungu... Na ndio hasa umaarufu wa jina la 'Jah' lilitokana na imani yake kuwa Mungu yupo na his mighty name ni 'Jah'. Hio imani yao ilifanya kuwe na msemo wao kwa Rastafarian's (waaminio katika existence ya Jah)

Jah people never die, When they die they never rote, When they rote there souls will be there to eternity.

Such a statement inaonesha kuwa they believe in God thou apart from God wa wengine, na not only that pia katika 'Eternity'...

Kwa kuongezea katika wimbo wake wa "positive vibration" (as much as not one of his best song but strong lyrics); kuna mahala kaimba "If you get down and quarrel everyday, You're saying prayers to the devil, " Hio pia ni dhahiri he believed in God.
 
Not only that katika wimbo wake wa survival kuna hawa jamaa wa katika bible aliwazungumzi,meshaki,shedraki na mwenzake alisema hivi ..........."We're the survivors, like
Shadrach, Meshach and
Abednego
(Black survivors),
Thrown in the fire, but-a never
get burn."
 
Hapa Imany naomba niende off topic, hao Shadrach, Meshach na Abednego ni survivors wa nini katika bible?
 
Hapa Imany naomba niende off topic, hao Shadrach, Meshach na Abednego ni survivors wa nini katika bible?

Hao waliambiwa waabudu Mungu wa uongo wakakataa,mfalme akaamuru wawekwe kwenye tanuru la moto,wakawekwa ila kwakuwa walikuwa wanamwamini Mwenyezi Mungu wakweli,ule moto haukuwadhuru. Ndio mana jamaa akawaita wapambanaji.
 
[.QUOTE=Kibukuasili;2416835]Bob kwenye suala la imani alikua kigeugeu kama wavuta bangi wengine. Alipokaribia kufa alibatizwa ethiopian ordhodox na alizikwa na kanisa hilo.[/QUOTE]

Bangi sio inshu hapa.
 
Bob kwenye suala la imani alikua kigeugeu kama wavuta bangi wengine. Alipokaribia kufa alibatizwa ethiopian ordhodox na alizikwa na kanisa hilo.

most of Rastafarians wapo Ethiopian orthodox kama Selassie alipokuwa kasome ufunguke na acha kuhukumu wavuta bangi wote kwa kuwajumuisha, herb hahihusiki hapo. Bob alizikwa kwa Rastafari culture na ethiopian Orthodox.
 
Huyu jamaa hakumuamini Mungu JEHOVAH
Alimwamini yule rais wazamani wa ethopia kama mungu wake hiyo muziki wake ni ibada inayoelekezwa kwa haile selasi
zamani nilikua shabiki mkubwa sana wa bob lakini nilipo mpokea Yesu nikagundua kwamba bob alikua ni muabudu miungu

Bob hakuwa anachukulia kuwa Haile Selassie I ni mungu, bali The manifestation of Jesus Christ just like all twelve Tribes of Israeli Rastafari believes. Haile Sellasie kuja kwake ipo mpaka kwenye bible kuwa there is a special man will come in Ithiopia and Ithiopia will soon praise God. Selassie ni mzaliwa wa 225 kutoka kwa malkia sheba ( makheda) na Solomon aliyekuwa mfalme wa Israel. Selassie alikuwa wiseman na ana tuzo ya kiongozi bora wa karne. Hakuna mtu ambaye anafuatilia historia ya mtu mweusia akaacha kumjua His Emperior Majesty, aliishi maisha kama mkristu bora, kabla hajazaliwa alipewa tittle kama Lion Of Judah, king of kings and Elect of God. Alizaliwa kwa maajabu na alitabiriwa na watu wanaosoma nyota kuwa atatoka mtoto wa pekee ethiopia kwa mwaka ule. Selassie alipigania usawa na haki ya mwafrika na kila mtu duniani, alishinda vita dhidi ya Italy ilipokuwa chini ya Musolin na hata Roman Catholic ilikuwa defeated. Selassie ameifungua dunia kuwa Ethiopian Orthodox ni kanisa la kwanza la kikristu na sio Catholics kama wanavyoclaim. Hakuna asiyejua how Selassie alivyotunza sanduku la agano, kuwatoa weusi utumwani, kuweka hekalu kubwa ethiopia na kuwarudisha weusi waliokuwa wanateseka Carribean. Sioni ubaya kupewa tittle ya Mesiah coz hata Yahshua (YESU) alipewa tittle hiyo kwa matendo yake. Selassie alipoenda kutembelea jerusalem waisraeli walimsujudia na kusema mwana wa Daudi amerudi, na endapo angezaliwa Jerusalem andiko lingetimia la kwake kuitwa messiah na waisrael kwa kuwa kila utabiri wa mesiah aliutimiza. Hata Yahshua waisraeli hawamwamini kwa kuwa hakuzaliwa mji mkuu kama ilivyotabiriwa na Isahya. Kwa Bob kumuheshimu Selassie sio vibaya kwa sababu amemuheshimu na Yesu kwa kuwa Selassie alifundisha kumpenda Yahshua pia. Bob alianza kumheshimu Selassie alipooteshwa ndoto ya Mtu aliyevaa kofia amemvika pete ya gold ina Simba wa Yudah, na bob alipomwona Selassie alimtambua maana ndiye aliyemtokea kwenye ndoto.
 
Bob alikuwa anasoma sana Bible, na kama mnafuatilia mistari yake, alikuwa anatumia mashahiri ya biblia. Neno jah ni kifupi cha YAH ambacho hutafririwa kama JAH maana Y na J za kiyahudi ni sawa. Ndio maana kuna neno AleluJAH means praise Jah (GOD). Bob alikuwa anaamini dini sio wokovu bali matendo yako, dini aliona zimeshakuwa corrupted mfano siku hizi ni biashara, ubaguzi kati ya dini na dini n.k. The only solution is One Love.

Maana ya Personal God ni I and I, kwamba Mungu ni spirit na wala sio mtu au kitu chenye Sura, na Mungu anaishi ndani ya kila mtu ndio maana nikimtendea mwenzangu baya ni dhambi kwa Mungu maana Mungu yu ndani yake, nakuwa nimemtendea na Mungu pia, ukimbagua mtu kwa rangi umembagua na Mungu maana Spirit of God ipo ndani ya kila mtu bila kubagua rangi, and thats called I and I, ndio maana Jamaica hawatumii neno 'me', 'we', 'us' bali wanatumia 'i' kutoa matabaka ya nafsi maana kila nafsi ni sawa. I and I, ina maana 'I' ya mimi na 'I' nyingine ya Mungu au roho wa Mungu ndani yangu.
 
Neno Jah ambalo rastas wamekuwa wakilitumia asili yake ni Jehovah kwa maana kwamba limetokea kwnye bible km ilivyo kwa neno Breden,Bob alimuamini Mungu na kitabu kitakatifu cha Biblia abt that song ni kuwaamasisha watu wajielewe kisha watafute kilcho chao yan kwamba sio dhamb kupigania haki yako,tofaut na preacher anavyohubiri.. kuhusu Haille Selasie anaonekana kwa mitazamo tofauti ndan ya rastas bt ol in ol wanamwamini kwa kurefer Psalms 87.
 
Bob Marley hakuacha Bible yake kamwe na alikuwa masomi mzuri wa Biblia, alikuwa anatumia King James Version Bible na alikuwa haiachi hata akienda kwenye show, alitumia maneno mengi na mistari kutokaa kwenye bible mfano katika nyimbo Exodus, Survival n.k

Bob%20Marley%20on%20Bus%20reading%20bible%20MILAN,%201980.jpg

Bob+Marley+Bob_Bible.jpg
 
Samahani kwa kutoka nje ya topic...
Nime wahi sikia mahali eti marastaaries wanatumia Ganja kama sehemu ya sacrament.je ni kweli???
 
Samahani kwa kutoka nje ya topic...
Nime wahi sikia mahali eti marastaaries wanatumia Ganja kama sehemu ya sacrament.je ni kweli???
Ni kweli, herb inatumika kwa MEDITATION na pia wanatumia kama dawa na chakula kama ilivyo kwenye mimea mingine. Sio kwa kuwa high ili kufanya fujo ila Rastas wanatumia herb kwa ustaarabu na bila kumbughudhi mwenzio ambaye hatumii. Kinalichopelekea watumie ni kuwa Cannabis ina historia kubwa na historia ya kale sana katika dini mbali mbali. Wabudha wanatumia kwa ajili ya relaxation na kufeel tofauti maana herb inamfanya mtumiaji aongeze upana wa kufukiri (kama utaweza kuicontrol) na kuwa tofauti ( Hata mfalme suleiman alisema hilo katika nakala zake kwenye kitabu cha Hebrew Bible). Pia wahindu wanatumia kwa ajili ya kupata feelings za mungu wao Shiva, tambua kuwa viongozi wote wa dini ya Budha na Hinduism walikuwa wanatumia herb for MEDITATION mfano Budha na Krishna.

Rastas wanatumia hebrew bible na bible ya sasa, wanafuata sheria za zamani za wakristu kwa kuamini kuwa YAHSHUA hakuja kupindua sheria yoyote, Waisraeli walianza kutumia Cannabis toka India around 3000BC na viongozi wa kidini ya kiyahudi walianza kuitumia kama sacred plant na neno Cannabis limetoka kwenye neno "Kannem bos" likimaanisha Sacred plant na ulitumika kutengenezea chakula, mafuta, dawa, rangi, na pia ulikuwa unachanganywa na mimea mingine minne (Kumbuka kuna mimea mitano ya sacred plants in Hebrew bible) kutengenezea mafuta ya kumsimika mfalme. Katika bustani ya Suleiman wanaakiolojia walikuta mabaki ya cannabis na majivu yake kwenye temples za suleiman, inaaminika ndio mmea aliouita Tree of Knowledge. So, cannabis haikatazwi kwa kuwa ina historia kubwa na Uyahudi na maisha ya mwanadamu kwa ujumla na ilikwepo kipindi bible inaandikwa, kama YHWH angekuwa ameiona ni mbaya angeikataza tangu zamani pale wa israeli walipikuwa Sinai ila aliibariki mimea yote aliyoumba na akasema mwanadamu aitumie
(Genesis 1:12).
"The Lord said unto me, 'I will take my rest and I will consider in my dwelling place like a clear heat upon herbs.' " -- Isaiah 18:4-5

Rastas do not drink Alcohol, using sigaretes wala madawa ya kulevya kwa sababu they are not natural, sio kama herb unaweza kuikuza na kuitumia bila kuipeleka viwandani kama ilivyo kwenye tumbaku n.k na pia havipo kwenye matumizi ya kale ya Wayahudi pombeipo ila Mungu aliwakataza wanazareti wasitumie mfano Yohana mbatizaji, samweli na samson). Not only rastas use weed hata dini nyingine zinatumia same to wakristu wengi wanaotumia WINE kwenye sacrament (Its alcoholic).
Na sio Rastas wote wanatumia herb, some hawatumii chochote kabisa.
 
Bob hakuwa anachukulia kuwa Haile Selassie I ni mungu, bali The manifestation of Jesus Christ just like all twelve Tribes of Israeli Rastafari believes. Haile Sellasie kuja kwake ipo mpaka kwenye bible kuwa there is a special man will come in Ithiopia and Ithiopia will soon praise God. Selassie ni mzaliwa wa 225 kutoka kwa malkia sheba ( makheda) na Solomon aliyekuwa mfalme wa Israel. Selassie alikuwa wiseman na ana tuzo ya kiongozi bora wa karne. Hakuna mtu ambaye anafuatilia historia ya mtu mweusia akaacha kumjua His Emperior Majesty, aliishi maisha kama mkristu bora, kabla hajazaliwa alipewa tittle kama Lion Of Judah, king of kings and Elect of God. Alizaliwa kwa maajabu na alitabiriwa na watu wanaosoma nyota kuwa atatoka mtoto wa pekee ethiopia kwa mwaka ule. Selassie alipigania usawa na haki ya mwafrika na kila mtu duniani, alishinda vita dhidi ya Italy ilipokuwa chini ya Musolin na hata Roman Catholic ilikuwa defeated. Selassie ameifungua dunia kuwa Ethiopian Orthodox ni kanisa la kwanza la kikristu na sio Catholics kama wanavyoclaim. Hakuna asiyejua how Selassie alivyotunza sanduku la agano, kuwatoa weusi utumwani, kuweka hekalu kubwa ethiopia na kuwarudisha weusi waliokuwa wanateseka Carribean. Sioni ubaya kupewa tittle ya Mesiah coz hata Yahshua (YESU) alipewa tittle hiyo kwa matendo yake. Selassie alipoenda kutembelea jerusalem waisraeli walimsujudia na kusema mwana wa Daudi amerudi, na endapo angezaliwa Jerusalem andiko lingetimia la kwake kuitwa messiah na waisrael kwa kuwa kila utabiri wa mesiah aliutimiza. Hata Yahshua waisraeli hawamwamini kwa kuwa hakuzaliwa mji mkuu kama ilivyotabiriwa na Isahya. Kwa Bob kumuheshimu Selassie sio vibaya kwa sababu amemuheshimu na Yesu kwa kuwa Selassie alifundisha kumpenda Yahshua pia. Bob alianza kumheshimu Selassie alipooteshwa ndoto ya Mtu aliyevaa kofia amemvika pete ya gold ina Simba wa Yudah, na bob alipomwona Selassie alimtambua maana ndiye aliyemtokea kwenye ndoto.
Naomba unipe andiko linalo onyesha utabiri wa haile selase
nimewahi kuangalia mkanda wa Bob unaoitwa THE TIME WILL TELL. Kunasehemu bob anasema kwamba haile ni BWANA WA MABWANA NA MFALME WA WAFALME. Jina hilo linamstahili Yesu tu ambae ni mwana wa Mungu Yesu ni Mungu halisi alie fanyika mtu halisi soma Yohana 1:1-3. soma isaya 9 yote utaona. pia ukisoma yohana nane utaona yesu anawaambia wayahudi kwamba "Kabla ibrahimu hajazaliwa mimi niko" hapo Yesu alikua anadhibitisha uungu wake. Yesu tu ndie simba wa yuda. yeye ndie mkombozi wa wanadamu wote na wala sio waafrika peke yao. hata Haile aliwahikukataa kwamba yeye sie Bwana wa mabwana wala mfalme wa wafalme. Yesu ni Mungu anaepaswa kuabudiwa
 
Bob alikuwa anasoma sana Bible, na kama mnafuatilia mistari yake, alikuwa anatumia mashahiri ya biblia. Neno jah ni kifupi cha YAH ambacho hutafririwa kama JAH maana Y na J za kiyahudi ni sawa. Ndio maana kuna neno AleluJAH means praise Jah (GOD). Bob alikuwa anaamini dini sio wokovu bali matendo yako, dini aliona zimeshakuwa corrupted mfano siku hizi ni biashara, ubaguzi kati ya dini na dini n.k. The only solution is One Love.

Maana ya Personal God ni I and I, kwamba Mungu ni spirit na wala sio mtu au kitu chenye Sura, na Mungu anaishi ndani ya kila mtu ndio maana nikimtendea mwenzangu baya ni dhambi kwa Mungu maana Mungu yu ndani yake, nakuwa nimemtendea na Mungu pia, ukimbagua mtu kwa rangi umembagua na Mungu maana Spirit of God ipo ndani ya kila mtu bila kubagua rangi, and thats called I and I, ndio maana Jamaica hawatumii neno 'me', 'we', 'us' bali wanatumia 'i' kutoa matabaka ya nafsi maana kila nafsi ni sawa. I and I, ina maana 'I' ya mimi na 'I' nyingine ya Mungu au roho wa Mungu ndani yangu.

Kusoma bibilia sio tatizo kaka kwani shetani husoma tena huamini na kutetemeka. wokovu wa mwanadamu haupatikani kwa matendo mema. bali ni kwakumwamini Yesu nakuishi maisha ya wokovu. kupitia nguvu za Yesu mtu huzaliwa upya na kupewa uwezo unaomwezesha kuzishika Amri za Mungu mtu huwezeshwa kutenda Matendo mema kwa nguvu za ROHO MTAKATIFU PEKE YAKE
 
Naomba unipe andiko linalo onyesha utabiri wa haile selase
nimewahi kuangalia mkanda wa Bob unaoitwa THE TIME WILL TELL. Kunasehemu bob anasema kwamba haile ni BWANA WA MABWANA NA MFALME WA WAFALME. Jina hilo linamstahili Yesu tu ambae ni mwana wa Mungu Yesu ni Mungu halisi alie fanyika mtu halisi soma Yohana 1:1-3. soma isaya 9 yote utaona. pia ukisoma yohana nane utaona yesu anawaambia wayahudi kwamba "Kabla ibrahimu hajazaliwa mimi niko" hapo Yesu alikua anadhibitisha uungu wake. Yesu tu ndie simba wa yuda. yeye ndie mkombozi wa wanadamu wote na wala sio waafrika peke yao. hata Haile aliwahikukataa kwamba yeye sie Bwana wa mabwana wala mfalme wa wafalme. Yesu ni Mungu anaepaswa kuabudiwa

Bible haikusema kwa kumtaja jina ila ilisema kuwa atatokea mtu ambaye atawatetea wana wa Mungu walioteswa kwa miaka na miaka na hata YHWH alisema atatumia uzao wa Daudi kuwatetea watu wake, Kwanza nipe maana ya Simba wa Yudah, maana yake ni kuwa Mzaliwa wa ukoo wa Yudah (Kwa upande wa baba na mama na sio Mungu na mwanadamu), ambaye atapigania haki za watu wa Mungu zilizopotea na kuteswa kwa utumwa kwa miaka na miaka. Yahshua anastahili sifa ya Mwana kondoo wa Mungu, tittle ya Simba wa Yudah alipewa kwa kuwa kipindi Yahshua alikwepo, wana wa israeli walikuwa chini ya utumwa wa warumi na ndio maana walitegemea Yahshua angewatetea na kuwatoa katika utumwa.

Isaiah 9:6 For unto us a child is born, unto us a son is given: and the government shall be upon his shoulder: and his name shall be called Wonderful, Counsellor, The mighty God, The everlasting Father, The Prince of Peace.

Hakuna ambacho hakukitimiza, Yahshua (ambaye unamwita Yesu) alipokuja na kufa kwa ajili ya dhambi zetu, hakusema kuwa yeye ndie wa mwisho kutimiza agano la kuwatetea wana wa Mungu na ndio maana mpaka anapaa bado waisraeli walikuwa wanateswa na warumi, Isaiah alitabiri mengi na mengine kiukweli kama unasoma biblia utagundua kuwa Yahshua hakuyatimiza mfano Kuzaliwa katika mji mkuu kama messiah, na pia wayahudi waliahidiwa kuwa messiah hatafanya miujiza, ila kurudisha makabila 12 yaliyopotea na kutunza sanduku la agano kwenye hekalu la tatu. Wana wa israeli mpaka leo wanamngojea masihi kwa kuamini kuwa Yahshua hakutimiza vyote, hata Yahshua alisema wapo watakaokuja kwa jina lake, wengine wakweli wengine waongo, is up to you kutopuuzia mambo ambayo unaona yanaendana na yale ya kale yaliyotabiriwa.

Najua wewe unasoma Biblia tu (may be KJV) katika kusoma Imani na kujifunza, lakini endapo ungekuwa unatumia Hebrew Bible na Kebra Negast (Kitabu kilichoandikwa na Malkia Sheba na Suleiman kinachopatikana Ethiopia, kimeelezea sanduku la agano lilipofika Ethiopia kutoka kwa Suleiman kabla ya kuvamiwa kwa Jerusalem baada ya utawala wa Suleiman na ungekuwa unatumia Biblia ya Ethiopia ambayo ni ya kale kuliko yako na ina vitabu vya zamani. Najua unajua kuwa YHWH alishasema kwa wana wa Israeli kuwa Ata stand katika ukoo wa Daudi, ukoo huo upo na umerithishwa mpaka Ethiopia kutoka kwa Suleiman, na tambua Ethiopia ndio nchi ya kwanza kwa kiongozi wake kuwa mkristu, hata kabla ukristu hujafika Roma ulishakuwa Ethiopia na ulikuwa umeenea zaidi.

Kwa miaka zaidi ya 400 mwafrika alikuwa ananyanyasika na kuteswa kwa kila kitengo.
slave-ship_Picture1.jpg

NINGESHANGAA SANA KAMA MWAFRIKA ANGEKOSA MTU WA KUMTETEA NA KUMPIGANIA WAKATI KILA MKOMBOZI WA WAISRAELI MFANO NAUDI, MUSA, SULEIMAN NA WENGINE AWE ANAPIGANIA HAKI ZA WAISRAELI TU JE MWAFRIKA ANGETEWA NA NANI? TUNGESEMA MUNGU YUPO WAPI WAKATI WATU WAKE WANAONEWA?

Capture.PNG 3134_4200461086608_1845655038_n.jpg

Ndipo alipozaliwa Selassie na tambua kuwa maneno King of Kings, Lion of Judah ni yalikuwa yanatumika Ethiopia hata kabla ya kuja kwa Yahsua na walikuwa nawapema majina haya Emperors tu, kwa Selassie alijidhihirisha alipotetea tittle hizo kwa kupigania haki za watu, hata jina lake Haile Selassie lina maana ya Power of the trinity, ametoka katika Monarch iliyoanzishwa na Menyelik I mtoto wa Sheba na Suleiman. Sio lazima viongozi wa dini wakufundishe tu, hata wewe unaweza kujifunza kwa kuwa tayari kuujua ukweli. Sio lazima pia ukariri Bible tu kwa kuwa bible imeandikwa mara ya mwisho ni katika kitabu sha ufunua karne ya 1 baada ya Yahsua, kwahiyo yanayoendela hata kama YHWH ndie anayafanya huwezi kujua kwenye bible maana hutaki kutumia macho yako kuangalia. Yahshua alitabiri mengi sana, na mengine yanaweza yakawa yanatokea ila sie tunaona ni uongo tu.
For more links nitakuwa nikiziandaa.

I DONT WORSHIP H.I.M HAILE SELASSIE ILA NAAMINI NI MOJA KATI YA WATU MUNGU ALIOWACHAGUA KUWATETEA WATU WAKE KAMA UNAVYOMWAMINI DAUDI AU MUSA, NAHESHIMU JINSI ALIVYOISHI NA KUPIGANIA HAKI ZA WATU WOTE NA KWAKUWA MUNGU ALISEMA ATABAKI MILELE NA MILELE KATIKA UKOO WA DAUDI. NA PIA HATA SELASSIE ALIFUNDISHA KUWA NJIA YA WOKOVU NI YAHSHUA PEKE YAKE, SO KAMA NAAMINI MANENO YA SELASSIE LAZIMA NA YAHSHUA NIMFUATE MAANA MAISHA YA SELASSIE YALIKUWA NI MFANO WA KUIGWA KWA MKRISTU BORA.

Haile selassie kissing cross.
03PatriarchAbuneBasilios1st_jpg.jpg
 
Kusoma bibilia sio tatizo kaka kwani shetani husoma tena huamini na kutetemeka. wokovu wa mwanadamu haupatikani kwa matendo mema. bali ni kwakumwamini Yesu nakuishi maisha ya wokovu. kupitia nguvu za Yesu mtu huzaliwa upya na kupewa uwezo unaomwezesha kuzishika Amri za Mungu mtu huwezeshwa kutenda Matendo mema kwa nguvu za ROHO MTAKATIFU PEKE YAKE
Mimi ni mwafrika, siwezi kukaa chini na kuheshimu wakombozi wa watu wakati kuna wakombozi wa waafrika waliopigania haki za mababu zangu halafu nao ninawaacha, siwezi wapuuzia eti kisa bible haijawataja, nitawaheshimu wote hata waliotetea haki za wahindi, waisraeli, wamisri n.k. Hata shetani anaisoma biblia lakini tofauti yake ni kuwa anaitafsiri katika njia tofauti na anatumia dini ambazo alishazipotosha miaka na miaka kwa kubadili biblia na kubadili maneno na maana kwa ujumla na kumfanya mwanadamu aamini dini ndio mwokozi wake. Kumwamini selassie as one of Great people from YHWH haimaanishi umepotea ila ni njia ya kumwamini Yahshua maana hata Selaasie alifundisha hayo. Mimi nimekuwa mfuasi wa Yahshua kutoka kwa Selassie, ndie aliyenifundisha historia ya mwafrika iliyofichwa miaka na miaka na watu waliokuwa na malengo yao zamani. Kama wewe unavyomwamini mcgungajia, papa au shemasi wako na mimi aliyeniweka kwenye faith ya Yahshua ni yeye. I will respect him na nitamshukuru YHWH kwa kumleta mwokozi na kujiirisha bado yupo pamoja na sisi.
Blessings...
 
hata Haile aliwahikukataa kwamba yeye sie Bwana wa mabwana wala mfalme wa wafalme. Yesu ni Mungu anaepaswa kuabudiwa
Hakuwahi kukataa kuwa yeye ni mwana wa daudi, na nembo yake ya Jeshi na utawala ina nyota ya Dausi, na alikuwa anaishi na Simba kama ishara ya Tittle yake na inasemekana alikuwa wa pekee maana alikuwa akimshika simba yoyote anatulia hata kama simba hajamzoea. na kuna hii video aliongea mwenyewe

(When the world was against Him in1936, because of His unequivocal position against imperialism, war and racism when the imperialist tormented Arica with their brutality before WWII in June 20, 1936 just before the WWII He openly warned them in the league of Nation about the shadow of big war in Europe in his prophetic words "It is us today, it will be you tomorrow." And said to His people in time of despair and hopelessness ...with faith, courage and just cause, David will still beats Goliad!) Title ya King of Kings na Lion of Judah aliikuta mpaka baba yake alikuwa nayo kwa kuwa ilikuwa kawaida kwa emperors kupewa jina hilo tangu miaka na miaka hata kabla ya Yahshua. Selassie alikuwa ni mfuasi mzuri wa maneno na kumfuata kristo japokuwa alikuwa kiongozi wa waislam na wahahudi waliokuwa wanaishi Ethiopia, lakini aliwahi kusema kuwa dini ni njia ya mwanadamu kumtafuta Mungu lakini sio lazima dini ndio ikupe chakula cha roho tu, like he always says NO ONE CAN JUDGE THE WAY OF GOD (alisema maneno haya alipokuwa anaulizwa kuhusu imani ya marastafari), we have to respect all religions maana sisi sio Mungu mpakaa tuwe na haki za kuhukumu kila kitu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom