Bob Marley aliamini Mungu kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bob Marley aliamini Mungu kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by Kiranga, Aug 17, 2011.

 1. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuuliza kwa nini kichwa cha thread hii kiwe muhimu. Unaweza hata usiwe mtu unayemsikiliza Bob Marley, lakini ukweli unabakia kuwa huyu jamaa ni icon. Mpaka leo kutoka, Brooklyn Bangladesh mpaka Bulyankulu, Tanangozi, Texas mpaka Tahrir watu wanamuelewa.

  Kwa kuwa huyu ni mtu mwenye gravita hiyo, na Rastafarians wanaamini mungu, na yeye ndiye icon wao, nakuwa na maswali.

  Kuna sehemu anaonekana kama anaamini mungu, mathalani katika makala ya Birmingham Post mwaka 2008 alinukuliwa kusema (check the Wiki)

  I am not sure on whether he was dipping into a specific god or the Einstenian "great unknown" "god does not play dice", metaphoric god.

  The Rutherford "Onward Christian soldiers" while deconstructing the structure of the atom "god".

  Halafu tena, kwangu mimi, kamtaja god huyo huyo in a very liberating manner kwa sisi tusioamini, katika wimbo wake "Get Up, Stand Up". It should be noted muimbaji wa kipande chenye mvuto zaidi -angalau kwangu- katika wimbo huu ni ni Peter McIntosh.

  Lakini kwa nini Tosh alisema "Almighty God is a living man"? Kwa nini Bob aliyekuwa kinara wa bendi aliruhusu mashairi haya yachapwe kwa jina lake?

  Je, Bob Marley na Peter Tosh hawakuamini kuwapo kwa mungu na waliamini kwamba idea nzima ya "mungu" ni kazi ya wanadamu walioishi kama sisis na ndio maana wakasema "Almighty god is a living man"

  "Almighty God is a living man" for god's sake, hivi mamilioni ya nakala za wimbo huu zinaposikilizwa watu huwa wanaelewa hiki kipande au wanaruka tu?

  Wimbo wote huu hapa chini.'

  Get up, stand up: stand up for your rights!
  Get up, stand up: stand up for your rights!
  Get up, stand up: stand up for your rights!
  Get up, stand up: don't give up the fight!

  Preacher man, don't tell me,
  Heaven is under the earth.
  I know you don't know
  What life is really worth.
  It's not all that glitters is gold;
  'Alf the story has never been told:
  So now you see the light, eh!
  Stand up for your rights. come on!

  Get up, stand up: stand up for your rights!
  Get up, stand up: don't give up the fight!
  Get up, stand up: stand up for your rights!
  Get up, stand up: don't give up the fight!

  Most people think,
  Great god will come from the skies,
  Take away everything
  And make everybody feel high.
  But if you know what life is worth,
  You will look for yours on earth:
  And now you see the light,
  You stand up for your rights. jah!
  [ Lyrics from: Get Up, Stand Up Lyrics - Bob Marley ]
  Get up, stand up! (jah, jah! )
  Stand up for your rights! (oh-hoo! )
  Get up, stand up! (get up, stand up! )
  Don't give up the fight! (life is your right! )
  Get up, stand up! (so we can't give up the fight! )
  Stand up for your rights! (lord, lord! )
  Get up, stand up! (keep on struggling on! )
  Don't give up the fight! (yeah! )

  We sick an' tired of-a your ism-skism game -
  Dyin' 'n' goin' to heaven in-a Jesus' name, lord.
  We know when we understand:
  Almighty god is a living man.
  You can fool some people sometimes,
  But you can't fool all the people all the time.
  So now we see the light (what you gonna do?),
  We gonna stand up for our rights! (yeah, yeah, yeah! )

  So you better:
  Get up, stand up! (in the morning! git it up! )
  Stand up for your rights! (stand up for our rights! )
  Get up, stand up!
  Don't give up the fight! (don't give it up, don't give it up! )
  Get up, stand up! (get up, stand up! )
  Stand up for your rights! (get up, stand up! )
  Get up, stand up! (... )
  Don't give up the fight! (get up, stand up! )
  Get up, stand up! (... )
  Stand up for your rights!
  Get up, stand up!
  Don't give up the fight! /fadeout/
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  almight God is a living man...... Hebu tafuta Mimi niko ambaye niko....
  Kuwepo ni kuexist, huwezi kuexist kama umekufa.
  God is a man... Adam aliumbwa kwa mfano wa Mungu
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  isn't creation part of giving birth? in that case God is also a woman if you insist that God is Man (he)?
  ..GOD is God. Deficult to define in our humanity context ndiyo maana he came to moses with a complicated ID...I AM WHO I AM. God didn't say I am he or she.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  I guess "man" here is used in the old fashion sense of "mankind"

  Lakini swali langu halijajibiwa, waliposema "Almighty god is a living man" walimaanisha kwamba god is just a con designed by living men? Ukiangalia context kwa mstari unaofuata kuhusu "You can fool some people for some time, but you can't fool all the people all the time" na mistari ya mwanzo "Preacher man don't tell me" utaona jamaa wanasagia religion na habari ya mungu.

  Au wanasema "Almighty god is a living man" kwa kum glorify mungu kwamba he is a living force, ila kiingereza kiliwapiga chenga wakashindwa kujieleza vizuri?
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna tofauti kati ya kujua kuwa mungu yupo na kuamini kuwa mungu yupo?
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  well kwanza siamini hiyo hadithi ya peter tosh kuwa ndo aliandika nyimbo nyingi za bob marley..
  but tukija kwenye topic
  inavyoonekana bob hakuamini mungu huyu tunaemuamini sisi....
  ndo maana rastafairans na wao wamekuwa kama dini fulani hivi....
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wewe unajua kuwa mungu yupo au unaamini kuwa mungu yupo?
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  miminaamini mungu yupo
  ningejua for sure ningekuwa mchungaji/imam..
  au nisingetenda dhambi hata moja lol
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo wachungaji na ma imam wanajua mungu yupo na wanajua alipo?
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kwa wachungaji na ma imam ni tofauti..
  wao kwao mungu ni kama umeme....
  huwezi kuuona kwa macho bu thru matokeo ya umeme kama
  kuwaka kwa taa,wameweza kwa namna fulani kumuona mungu...
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Bob Marley was a Rastafarian..., who believe in God (Jah)..., also they believed that Haile Sellasie (King of Kings) was brought to walk the Earth in order to unite Africa...,

  Therefore he did believe in a supernatural na ninadhani a lot of their beliefs are from the Old Testament
   
 13. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Bob marley alimuamini mungu Jah (jehova) kasome hata wikipedia historia yake. Alikuwa ktk dini ya rastafari na alimuamini haile selasie kama mtume mwingine baada ya yesu na ethiopia aliiona kama makao makuu. Marastafrh wanamuheshimu kwani ndiye aliyenfluence imani za rastafarah. Nashangaa kuona mtu bado mpaka leo hujaona contribution yake. Jamani msomeni vizuri mmuelewe.
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  I AM THAT I AM wala si i am who i am.
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Waongo wanasema wanajua, wakweli wanasema wanaamini.

  Maisha haya quantum pertubations zinakataza kujua chochote, hata kujua kwamba hujui nako suspect.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Aug 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wakweli watasemaje wanaamini wakati msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika? Ukweli hauendani na imani. Ukweli unaendana na kujua. Imani inaendana na kutokuwa na uhakika.
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Kuna ma cardinal na maaskofu wanasema wanamuamini mungu, lakini ukisoma vizuri maandishi yao, unaona kwamba kuna tofauti kubwa ya huyu mungu anayeaminiwa na watu kwamba mdingi fulani kakaa juu anawaangalia watu, ataadhibu watundu na kureward wazuri, na huyu wanayemuamini hawa mabingwa wa theolojiai

  Wengine wanasema wazi kabisa kwamba "If god does not exist, it is necessary to invent him" primarily to keep people in check..

  Kuna wasomi wa theolojia wanaamini mungu lakini mungu kama idea ya "greatest good" wala si kama force fulani, au kitu fulani.

  Ndiyo maana nikauliza hili swali.

  Kuna watu katika hiyo link ya yahoo wanaongelea kwamba pengine Bob aliamini kwamba "Almighty god is a living man" kwa maana ya kwamba mungu ni wewe na mimi, mungu ni Selassie.

  Kwa hiyo, badala ya kukaa chini na kuomba mungu mvua inyeshe, tuanze kuangalia jinsi gani ya kutumia maji ya mito vizuri katika irrigation.

  Ndiyo maana unaambiwa "If you know what life is worth, you will look for yours on earth". Hakuna haja ya kungoja "pie in the sky" siku ya hukumu upewe zawadi, mungu hayupo na hukumu ipo hapa hapa duniani kwa mujibu wa jitihada zako.

  Usifikiri kila mtu anayesema yeye rasta anaamini kila kitu katika Rastafarianism.

  Juzi tumemuona Buju Banton anajiita Rasta kwa miaka kibao, kumbe anauza unga Miami.

  Don't believe everything you read. Analyze.
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mmeniguuusa saaana Bob aliamini mungu na kuna nyimbo nyingi saana kaimba quotes from the bibble sikiliza so jah seh! kuna nyimbo km halleluyah! survival pale anaposema meshack shedrack and abednego fall in the fire but never got burn! ukisikiliza zile documentary za bob jamaa alikuwa anasoma sana bibble. bob was great! na atabaki the greatest of them all. nilikuwa naangalia documentary ya mziki wa sudan aljazeera, kuna jamaa anakuambia kabisa kwamba inspiration ya yeye kuimba imetoka kwa bob! forever loving jah! and what has been hidden from the wise and the prudent being revealed to baby and the suckling! will never be blue forever yeah!!
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Yeah,

  Aliamini mungu I guess. the question hapa ni, mungu gani?

  Kuna watu wanaamini mungu, lakini wanakwambia kila binadamu ni mungu.

  Ndiyo maana hiyo line ya kusema "Almighty god is a living man" inakuwa na umuhimu huu.

  Kuamini mungu si kazi, hata mimi - self proclaimed atheist- ukiniambia unaweza kujumuisha "mathematical symmetry" kama mungu nitakwambia naamini mungu.

  Swali kubwa ni, mungu wa vipi huyu? Ni yule yule wa kikristo au?

  Mbona kamkandya sana preacherman na "you can fool some people for sometime, but you can't fool all the people all the time".

  Ina maan Bob aliamini ukristo mainstream ni kamba tu?
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Ukweli si lazima uendane na kujua.

  Unaweza kuniuliza "Moja jumlisha moja ni ngapi" . Nikakwambia sijui ni ngapi, nikawa sijui, lakini mkweli.

  Au hata nikakwambia naamini ni mbili, lakini sijui kwa uhakika, na zaidi wala sijui kwamba sijui kwa uhakika, nikabaki mkweli.

  Kwa hiyo, ukweli hauendani na kujua mara zote, unaweza kuwa mkweli hata usipojua.
   
Loading...