sasa aombwe atokeze mara ngapi ? serikali ndio yenye mamlaka ya kumtaka ajibu hizo tuhuma na sio wewe au yule , huyu sasa ni mwananchi huru kama wengine kama mikataba aliandika wakati akiwa serikalini kwahiyo serikali hiyo imeshapita muda wake na haina chake sasa hivi
Watu hawaingii kwenye PAYROLL ya mafisadi kirahisi namna hii, Unajidanganya ukidhani unatudanganya. Bora ukawapigie magoti maana pesa za wizi bado wanazo, Ongeza bidii!!sasa aombwe atokeze mara ngapi ? serikali ndio yenye mamlaka ya kumtaka ajibu hizo tuhuma na sio wewe au yule , huyu sasa ni mwananchi huru kama wengine kama mikataba aliandika wakati akiwa serikalini kwahiyo serikali hiyo imeshapita muda wake na haina chake sasa hivi
Anachotakiwa kueleza ni kukubali au kukataa. ni kweli raia. sasa anapokaa kimya maanake yanayazungumzwa ni kweli
sasa aombwe atokeze mara ngapi ? serikali ndio yenye mamlaka ya kumtaka ajibu hizo tuhuma na sio wewe au yule , huyu sasa ni mwananchi huru kama wengine kama mikataba aliandika wakati akiwa serikalini kwahiyo serikali hiyo imeshapita muda wake na haina chake sasa hivi
sasa aombwe atokeze mara ngapi ? serikali ndio yenye mamlaka ya kumtaka ajibu hizo tuhuma na sio wewe au yule , huyu sasa ni mwananchi huru kama wengine kama mikataba aliandika wakati akiwa serikalini kwahiyo serikali hiyo imeshapita muda wake na haina chake sasa hivi
1. sasa aombwe atokeze mara ngapi ?
2. serikali ndio yenye mamlaka ya kumtaka ajibu hizo tuhuma na sio wewe au yule ,
3. huyu sasa ni mwananchi huru kama wengine kama mikataba aliandika wakati akiwa serikalini
4. kwahiyo serikali hiyo imeshapita muda wake na haina chake sasa hivi
sasa aombwe atokeze mara ngapi ? serikali ndio yenye mamlaka ya kumtaka ajibu hizo tuhuma na sio wewe au yule , huyu sasa ni mwananchi huru kama wengine kama mikataba aliandika wakati akiwa serikalini kwahiyo serikali hiyo imeshapita muda wake na haina chake sasa hivi
sasa aombwe atokeze mara ngapi ? serikali ndio yenye mamlaka ya kumtaka ajibu hizo tuhuma na sio wewe au yule , huyu sasa ni mwananchi huru kama wengine kama mikataba aliandika wakati akiwa serikalini kwahiyo serikali hiyo imeshapita muda wake na haina chake sasa hivi
Kutokana na tuhuma nyingi amabazo zimekuwa zikielekezwa kwako nawewe kukaa kimya bila ya kujibu lolote inatutia mashaka wananchi wenzako.
Madai ambayo yanatolewa juu yako ni mengi muno tumeambiwa kuwa umeitumia ikulu kufanya biashara lakini kama hiyo haitoshi, Tukambiwa kuwa una hisa kiwanda cha kiwira na baadaye tunambiwa kuwa ulimbeba karamagi kwa kumuongezea muda wa mkataba wa kampuni yake.
Kwa maana hiyo basi bila shaka ulikuwa na maslahi katika kampuni hiyo. Juzi natoka arusha wakati tupita mombo ikazuka hoja yako, Na kijana mmoja akesema kwamba unayo Hoteli kubwa ya kitalii huko Lushoto.
Na kwamba una mpango wa kujenga reli ya waya kwa ajili ya kuwachukua watalii kutoka kituo kitakachojengwa hapo mombo, na kuwapandisha watalii kwenye Hoteli yake iliyoopo huko Lushoto.
Lakini pia kama hiyo haitoshi inasemekana mama mkapa alinunua jengo lililopo Ilala lililokuwa linamilikiwa na shirika la Posta kwa njia za panya.
Na baadaye kuliuza kwa mfanya biashara wa Mwanza wakati huohuo kuna jengo lililokuwa linamilikiwa na iliyokuwa NBC, Lililoko katika njia panda ya Morogoro na Jamuhuri ambalo pia inasemekana linamilikiwa na mama Mkapa.
Kwa maana hiyo basi ni wakati muafaka sasa kwa bwana BMW kuyaweka wazi mambo haya. naomba kuwasilisha
Hivi si Kiwira inamesemekana itaanza kuchunguzwa na serikali.Sasa mnataka huyu bwana ajibu nini,kwani kukaa kimya ni jibu pia.Hata mahakamani unaambiwa una haki ya kukaa kimya au kuongea.
Au unataka kusikia anavyokanusha?Cha msingi unatakiwa kusema tunataka serikali ikamilishe uchunguzi mapema na kama kuna chetu kirudishwe.
Kichunguzwe kipi tena kisichojulikana?
Katika ile ripoti iliyoundwa na JK, kamati ya madini, hiyo Kiwira nayo imo humo katika ripoti. Cha ajabu ni kwamba pamoja na Mwenyekiti wa kamati hiyo kutamka kwamba ripoti imeshakamilika na wanasubiri kumkabidhi muungwana, muungwana anawapiga chennga za mwili mara yuko Uganda mara Ethiopia mara yuko Singida. Anayapa kipaumbele mambo ambayo hayastahili kipaumbele kwa sasa ukilinganisha na hili la mafisadi ambapo pia fisadi Mkapa na Yona walijimilikisha Kiwira Coal Mining katika mazingira ya kifisadi
Kiwira irudishwe chini ya umiliki wa serikali na pesa zote walizolipwa na TANESCO hadi sasa ambapo wanatakiwa walipwe shilingi 146 milioni kwa siku zirudishwe TANESCO tena na riba na fisadi Mkapa na Yona wafunguliwe mashraka kwa kujimilikisha kinyemeka KCM.