Bmw Jitokeze Kujibu Tuhuma Zako

Ipole... hata mimi namuunga mkono shy sioni mantiki ya Big Ben eti ajitokeze ajibu tuhuma sana sana itakuwa kuleta mijadala ambayo haitakuwa na mwisho wowote wa maana sana sana kuuza magezeti ya watu tu. Nilichotegemea mimi kwa kuwa hizo tuhuma za ufisa za Big Ben na kimwana wake zinaeleweka kwani zimekuwa zikuzungumzwa sana ni kwa serikali kupitia mahakama wamuweke kolokoloni Big ben na huko ndiko sehemu muafaka ya kujibu hizo tuhuma na kama atasema NDIO au HAPANA mahakama itaamua. Kwani leo akijitokeza akasema sikufanya mtamfanya nini?? wakati nyie mnajua na mna uhakika kabisa amefanya?? Tuwe na mawazo mapana zaidi ndugu zangu..
 
Rais alishasema Wamuache Apumzike,Hakuna mtu wa kumleta Mkapa kuja kujibu masuala haya mpaka yeye mwenyewe aamue.Hata Mkuu wa kaya hana uwezo huo..autoe wapi??

Tumuombe tu Mzee Ben aje awekeze tu hapa Bongo ili watu wapate ajira za kutosha

Kuhusu Hotel Ya Lushoto,Mie namuunga Mkono,Kwanza imesaidia watu kupata Ajira sababu amaeajiri watu wengi na ukienda pale utashangaa kuoana watu kutoka pande mabl mbali wakifanya kazi.unaweza kutazama hiyo hotel hapa http://www.irenteview.com/

Unafikiri bila hotel watu wangepata wapi ajira??vitu vya maendeleo inabidi vipongezwe

Mzee FMES lengo la Mkpa akuhojiwa wwewe unalitakia nini??Je unadjhani litaleta Tija?Mzee Mkpa was Clever na hakuna ushahidi wa moja kwa moja kama Mkapa anahusika na hilo mnalofika.Have you seen the AOM and MOU ya ANBEN..??


simtetei ila najua hawana Grounds za kumkabili Huyu Mwana Habari Mzoefu..Unaweza kujiuliza Je Mkapa Siyo Member wa JF,anatumia ID gani???Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom