BM Coach mmeleta changamoto kwa Abood Bus Dar mpaka Moro

Kwa taarifa yako tu ni kwamba duru za chini chini zinasema kuwa huyo BM na Abood ni Mtu mmoja hivyo hiyo pongezi yako Kwao ni kama tu vile umempongeza Abood indirectly. Kuna mbinu moja ya Kimasoko ( Market Strategy ) ambayo ' wabobezi ' wa Masuala ya Biashara na Masoko watatusaidia kwani nimelisahau lile neno lake la ' Kitaaluma '. Ni kwamba kwa kawaida Mtu fulani anapokuwa anajua kuwa anakubalika mno na ameshajijengea jina kubwa na imani kwa Wateja wake mahala husika sasa ili kuweza kutopoteza Soko lake kwa ' Washindani ' wapya huamua kuanzisha ' vijikampuni ' vingine kadhaa ili ' Kuwazuga ' tu Watu lakini kumbe vyote ni vyake na faida itakayopatikana bado itabaki tu kuwa yake na ataendelea kutawala hiyo Biashara na hilo eneo.

Yapo Makampuni mengi sana makubwa na yaliyokwisha jizolea ' sifa ' kemkem hapa Tanzania na huko duniani ambapo na Wao walikuja na mbinu hii hii ila sisi ' Wateja ' tumezugwa tu kama siyo kufichwa na hatimaye Pesa / Fedha zetu zote mwisho wa siku tunampelekea tu ' Njemba ' moja na ' Utajiri ' wake unazidi kukua japo ameutawanya.

Hapana chezea ' Wafanyabiashara ' Mkuu kwani ni Wajanja na wana ' mbinu ' kali na za ' kutukuka ' kabisa.
Ni kama Njombe Express na Nyagawa.
 
AL SAEDY ana mabasi aina zote kuanzia tata marcopolo, marcopolo scania zile andare, scania bodi za zamani, golden dragon, such nini sijui, youtong model ya mwanzo na mpya, zhongtong, higger na dizain zote za mabasi unayoijua.
Anashindwa sehem moja tu customer care pamoja na lile tatizo la basi kuwa daladala hapa na pale kituo

Ni kweli mkuu, Al saedy wana tatizo la kusimama kila kituo, lakini kwa sasa BM ndiye mpinzani mkuu kwa ruti ya dar moro
 
Brasto Makundi (BM) na Abdulaziz Abood hawana uhusiano kindugu na kibiashara
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba duru za chini chini zinasema kuwa huyo BM na Abood ni Mtu mmoja hivyo hiyo pongezi yako Kwao ni kama tu vile umempongeza Abood indirectly. Kuna mbinu moja ya Kimasoko ( Market Strategy ) ambayo ' wabobezi ' wa Masuala ya Biashara na Masoko watatusaidia kwani nimelisahau lile neno lake la ' Kitaaluma '. Ni kwamba kwa kawaida Mtu fulani anapokuwa anajua kuwa anakubalika mno na ameshajijengea jina kubwa na imani kwa Wateja wake mahala husika sasa ili kuweza kutopoteza Soko lake kwa ' Washindani ' wapya huamua kuanzisha ' vijikampuni ' vingine kadhaa ili ' Kuwazuga ' tu Watu lakini kumbe vyote ni vyake na faida itakayopatikana bado itabaki tu kuwa yake na ataendelea kutawala hiyo Biashara na hilo eneo.

Yapo Makampuni mengi sana makubwa na yaliyokwisha jizolea ' sifa ' kemkem hapa Tanzania na huko duniani ambapo na Wao walikuja na mbinu hii hii ila sisi ' Wateja ' tumezugwa tu kama siyo kufichwa na hatimaye Pesa / Fedha zetu zote mwisho wa siku tunampelekea tu ' Njemba ' moja na ' Utajiri ' wake unazidi kukua japo ameutawanya.

Hapana chezea ' Wafanyabiashara ' Mkuu kwani ni Wajanja na wana ' mbinu ' kali na za ' kutukuka ' kabisa.
....Blasto Makundi (BM) na Abdul Aziz Abood ni the same kivipi? Hebu fafanua.
 
Unaelewa lakini maana ya Mtu akisema ' duru za chini chini? '. au mwenzetu umeshuka na ' Treni ' ya kutoka ' bara ' jana jioni hivyo bado una ugeni na haya maneno yetu ya down town Bongo?
 
Ungetuwekea kabisa na majina yake ungeonekana Great Thinker wa kweli lakini badala yake inaonekana kuwa kumbe na Wewe ' unabashiri ' tu humu kama akina siye na huna uhakika na unachokijua.
...BM= Blasto Makundi, alianzia biashara zake Turiani. Ni mchaga...garage yake iko Iringa rd Msamvu. ABOOD ni mwarabu, alianza baba sasa kawaachia watoto. Garage ya bus zake iko maeneo jirani na shule ya msingi K'ndege. In summary these are two different companies ...
 
Mkuu BM ni za kitambo sana zamani alikuwa anapiga ruti ya iringa na turiani wakati huo ABOOD anapiga ruti ya Moro tu, na hata hivyo BM garage ya gari zake ipo pale iringa road ukitoka tu msamvu kabla hujavuka daraja utazikuta zile BM za zamani zimejifia hapo wakati Abood yeye garage kiwanja cha ndege ndipo zilipo
Kitambo sana na nafikiri anaishi Madizini Turiani
 
Unaelewa lakini maana ya Mtu akisema ' duru za chini chini? '. au mwenzetu umeshuka na ' Treni ' ya kutoka ' bara ' jana jioni hivyo bado una ugeni na haya maneno yetu ya down town Bongo?
....Nimeshuka juzi tokea chato mkuu, huwa napanda pangaboi...ila safari ni kweli nimekuja na treni...
 
...BM= Blasto Makundi, alianzia biashara zake Turiani. Ni mchaga...garage yake iko Iringa rd Msamvu. ABOOD ni mwarabu, alianza baba sasa kawaachia watoto. Garage ya bus zake iko maeneo jirani na shule ya msingi K'ndege. In summary these are two different companies ...

Na Wewe Kampuni yako ni ipi Mkuu?
 
Juzi nilikuwa Morogoro... Naona kuna New force, pia Alsaed amebadilika ametoa magari mazuri .... Sijajua kama Islam bado yupo barabarani
Tatizo la AL SAEDY gari zake ni kama daladala ila pamba zake kali
 
Ipo , huwa inatembea giza likiingia kuokoteza masalia ya abiria wa njiani.
Nakumbuka 2009 niliwaachia nauri....... Islam bei yao ilikuwa chini kidogo ya BM, Abood na Hood.

Nimeingia Ubungo saa 9 nikakata tiketi.... Hadi saa kumi na moja gari halijai...

Nikashuka nikakata tiketi Abood... Tukaondoka tukaliacha... Tangu hapo sikupanda tena Islam.
 
Kwa safari zangu za Moro- Arusha and vice versa, Dar To Moro chaguo langu ni BM
 
Back
Top Bottom