BM Coach mmeleta changamoto kwa Abood Bus Dar mpaka Moro

Mwenye BM ni B. MAKUNDI na mwenye Abood ...ni abood mbunge wa Moro mjini!
Kwa taarifa yako tu ni kwamba duru za chini chini zinasema kuwa huyo BM na Abood ni Mtu mmoja hivyo hiyo pongezi yako Kwao ni kama tu vile umempongeza Abood indirectly. Kuna mbinu moja ya Kimasoko ( Market Strategy ) ambayo ' wabobezi ' wa Masuala ya Biashara na Masoko watatusaidia kwani nimelisahau lile neno lake la ' Kitaaluma '. Ni kwamba kwa kawaida Mtu fulani anapokuwa anajua kuwa anakubalika mno na ameshajijengea jina kubwa na imani kwa Wateja wake mahala husika sasa ili kuweza kutopoteza Soko lake kwa ' Washindani ' wapya huamua kuanzisha ' vijikampuni ' vingine kadhaa ili ' Kuwazuga ' tu Watu lakini kumbe vyote ni vyake na faida itakayopatikana bado itabaki tu kuwa yake na ataendelea kutawala hiyo Biashara na hilo eneo.

Yapo Makampuni mengi sana makubwa na yaliyokwisha jizolea ' sifa ' kemkem hapa Tanzania na huko duniani ambapo na Wao walikuja na mbinu hii hii ila sisi ' Wateja ' tumezugwa tu kama siyo kufichwa na hatimaye Pesa / Fedha zetu zote mwisho wa siku tunampelekea tu ' Njemba ' moja na ' Utajiri ' wake unazidi kukua japo ameutawanya.

Hapana chezea ' Wafanyabiashara ' Mkuu kwani ni Wajanja na wana ' mbinu ' kali na za ' kutukuka ' kabisa.
 
Kwanza naomba nikiri wazi kuwa sina uhusiano wowote na mabasi tajwa mimi ni msafiri tu wa kawaida.
Kiukweli Abood Bus alianza kubweteka na kufanya vile anavyojisikia bila ya kuzingatia mteja anataka nini.
Miaka ya 2000 mwanzoni mpinzani mkubwa wa Abood Bus kwa ruti ya Dsm mpaka Moro alikuwa ni Hood.
Hood alifanya soko la Abood kuwa gumu pale alipoleta Marcopolo Torino na mfumo mpya wa basi kuwa na dereva tu bila ya kondakta.
Wakati huo Abood bado akiendelea na yale mabasi yake ya zamani zile scania engine ipo nyuma (mimi sio mtaalam wa model za magari).
Hii ilipelekea basi nyingi za hood ziwe njiani yaani basi linatoka dsm kwenda Moro likifika chalinze tayari lishajaa abiria wanaolisubiri pale msamvu Moro wards nalo Dsm.
Kuona hali inakuwa tete Abood ikampasa kuvunja kibubu chake nae akazama Africa Kusini akatuletea Marcopolo Andare Class.
Kiukweli basi hizi kwa wakati huo zilikuwa zipo kileleni kwa kila kitu na hii ikapelekea kuvuruga soko la hood na kuzipoteza kabisa.
Kinachomsaidia hood gari zake ametawanya Tanzania tofaut na Abood ruti zake zinahesabika.
Baada ya kushinda soko akaanza kujisahau maana akawa wakati mwingine analeta yale mabasi yake ya zamani mwanae.
Nakumbuka niliwahi kukata tiketi pale ubungo kuingia ndani tunaletewa basi sio bahati tulikuwa na ushirikiano tuligoma ndipo likaletwa lile tulilokatia tiketi.
Kwa takribani muda kidogo alijitokeza AL saedy akashindwa kuleta changamoto kwa Abood tatizo la AL saedy gari yake ni kama daladala.
Akaja Gombe Expedition nae hakufanya lolote.
Ndipo BM akamwaga zile youtong zake za mwanzo kwa fund. Na cha kupendeza zaidi akawa anatoa dizaini yote ya mabasi ya kisasa kuanzia youtong, higher mpaka zhongtong na vioo tinted ndani ac(ingawa inawashwa pale stendi ila mkitoka tu wanazima).
Sasa naona Abood nae anatoa youtong za ukweli tatizo lake kubwa zinanyata balaa
Hivyo uwepo wa BM Coach umeleta changamoto kwa Abood Bus.
Now kuna new force nae amechagiza ushindani
 
Shida ya abood siku za weekend au za sikukuu kutokana na demand kubwa bas hata wafanyakaz wake wanaokatisha tiket huwa na majibu ya Tandale sana.
Changamoto kwa abood kwa sasa ni kubwa, abiria alokua akigombania na Hood kwa sasa anagombania na New Force, Al Saedy,BM,Hood (aloochoka) na mabas ya mikoani kwa mida ya jioni na asbuh.
Mfano mie nikitaka kwenda moro napotoka sa 12 UBT huwa napanda mabas ya MIKOANI beyond Moro,na jion huwa nayasubiri yaleyale.
Maana huwa hayauweki kituoni.
Though ataendelea kutamba ila ameshakumbana na mbinyo wa ushindani
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba duru za chini chini zinasema kuwa huyo BM na Abood ni Mtu mmoja hivyo hiyo pongezi yako Kwao ni kama tu vile umempongeza Abood indirectly. Kuna mbinu moja ya Kimasoko ( Market Strategy ) ambayo ' wabobezi ' wa Masuala ya Biashara na Masoko watatusaidia kwani nimelisahau lile neno lake la ' Kitaaluma '. Ni kwamba kwa kawaida Mtu fulani anapokuwa anajua kuwa anakubalika mno na ameshajijengea jina kubwa na imani kwa Wateja wake mahala husika sasa ili kuweza kutopoteza Soko lake kwa ' Washindani ' wapya huamua kuanzisha ' vijikampuni ' vingine kadhaa ili ' Kuwazuga ' tu Watu lakini kumbe vyote ni vyake na faida itakayopatikana bado itabaki tu kuwa yake na ataendelea kutawala hiyo Biashara na hilo eneo.

Yapo Makampuni mengi sana makubwa na yaliyokwisha jizolea ' sifa ' kemkem hapa Tanzania na huko duniani ambapo na Wao walikuja na mbinu hii hii ila sisi ' Wateja ' tumezugwa tu kama siyo kufichwa na hatimaye Pesa / Fedha zetu zote mwisho wa siku tunampelekea tu ' Njemba ' moja na ' Utajiri ' wake unazidi kukua japo ameutawanya.

Hapana chezea ' Wafanyabiashara ' Mkuu kwani ni Wajanja na wana ' mbinu ' kali na za ' kutukuka ' kabisa.
Mmmmh.
BM means Brasto Makundi,ni mchaga aloanza biashara ya mabasi kutokea Turiani kwenda Moro,kisha Turiani Dar baadae Moro>Turiani to Dodoma.Pia Dodoma -Dar hadi mwanzon mwa miaka ya 2000 hiyo route ilikuwepo.
Mibas yake ilikua ya kuchonga na Rosa (min buses).

Abood ni mwarabu ambaye alianza biashara before BM.
Hawana nasaba hata chembe,
Labda useme Al saedy na Abood(Hawa wpte ni waarabu), au Alsaedy na Islam (Hawa wana chembe za NASABA).
 
Nijuavyo mimi BM ni mabasi ya mswahili (mchaga wa kilimanjaro)
Upo sahihi makaz yake yapo Masika,near CRDB ana kaduka ka Jumla jumla na nyuma ya NMB ana.yard na anauza magar toka nje
 
Kwa haya malumbano. Nayaona makabila mawili tu. Mzaramo na mluguru. Usinichukulie vby ni mawqzo yangu tu.
 
Menasubiria treni yamwendokasi nione watakavyotafutana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwanza naomba nikiri wazi kuwa sina uhusiano wowote na mabasi tajwa mimi ni msafiri tu wa kawaida.
Kiukweli Abood Bus alianza kubweteka na kufanya vile anavyojisikia bila ya kuzingatia mteja anataka nini.
Miaka ya 2000 mwanzoni mpinzani mkubwa wa Abood Bus kwa ruti ya Dsm mpaka Moro alikuwa ni Hood.
Hood alifanya soko la Abood kuwa gumu pale alipoleta Marcopolo Torino na mfumo mpya wa basi kuwa na dereva tu bila ya kondakta.
Wakati huo Abood bado akiendelea na yale mabasi yake ya zamani zile scania engine ipo nyuma (mimi sio mtaalam wa model za magari).
Hii ilipelekea basi nyingi za hood ziwe njiani yaani basi linatoka dsm kwenda Moro likifika chalinze tayari lishajaa abiria wanaolisubiri pale msamvu Moro wards nalo Dsm.
Kuona hali inakuwa tete Abood ikampasa kuvunja kibubu chake nae akazama Africa Kusini akatuletea Marcopolo Andare Class.
Kiukweli basi hizi kwa wakati huo zilikuwa zipo kileleni kwa kila kitu na hii ikapelekea kuvuruga soko la hood na kuzipoteza kabisa.
Kinachomsaidia hood gari zake ametawanya Tanzania tofaut na Abood ruti zake zinahesabika.
Baada ya kushinda soko akaanza kujisahau maana akawa wakati mwingine analeta yale mabasi yake ya zamani mwanae.
Nakumbuka niliwahi kukata tiketi pale ubungo kuingia ndani tunaletewa basi sio bahati tulikuwa na ushirikiano tuligoma ndipo likaletwa lile tulilokatia tiketi.
Kwa takribani muda kidogo alijitokeza AL saedy akashindwa kuleta changamoto kwa Abood tatizo la AL saedy gari yake ni kama daladala.
Akaja Gombe Expedition nae hakufanya lolote.
Ndipo BM akamwaga zile youtong zake za mwanzo kwa fund. Na cha kupendeza zaidi akawa anatoa dizaini yote ya mabasi ya kisasa kuanzia youtong, higher mpaka zhongtong na vioo tinted ndani ac(ingawa inawashwa pale stendi ila mkitoka tu wanazima).
Sasa naona Abood nae anatoa youtong za ukweli tatizo lake kubwa zinanyata balaa
Hivyo uwepo wa BM Coach umeleta changamoto kwa Abood Bus.
mara ya mwisho kuingia msamvu stnd lini l? umesahau kuna NEW FORCE BM ZINSUBIRI SASA HV
 
Sasa hivi NEW FORCE kavamia soko anawakimbiza mbaya na yale mabus yake hana mabus chakavu kama Abood na B.M yakiisha yale mazuri.
 
Hao jamaa nawapongeza kwa kuanzisha safari ya Moro-Dar-Lindi-Masasi.
Nawashauri waongeze na ya Mtwara. Hongera zao
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba duru za chini chini zinasema kuwa huyo BM na Abood ni Mtu mmoja hivyo hiyo pongezi yako Kwao ni kama tu vile umempongeza Abood indirectly. Kuna mbinu moja ya Kimasoko ( Market Strategy ) ambayo ' wabobezi ' wa Masuala ya Biashara na Masoko watatusaidia kwani nimelisahau lile neno lake la ' Kitaaluma '. Ni kwamba kwa kawaida Mtu fulani anapokuwa anajua kuwa anakubalika mno na ameshajijengea jina kubwa na imani kwa Wateja wake mahala husika sasa ili kuweza kutopoteza Soko lake kwa ' Washindani ' wapya huamua kuanzisha ' vijikampuni ' vingine kadhaa ili ' Kuwazuga ' tu Watu lakini kumbe vyote ni vyake na faida itakayopatikana bado itabaki tu kuwa yake na ataendelea kutawala hiyo Biashara na hilo eneo.

Yapo Makampuni mengi sana makubwa na yaliyokwisha jizolea ' sifa ' kemkem hapa Tanzania na huko duniani ambapo na Wao walikuja na mbinu hii hii ila sisi ' Wateja ' tumezugwa tu kama siyo kufichwa na hatimaye Pesa / Fedha zetu zote mwisho wa siku tunampelekea tu ' Njemba ' moja na ' Utajiri ' wake unazidi kukua japo ameutawanya.

Hapana chezea ' Wafanyabiashara ' Mkuu kwani ni Wajanja na wana ' mbinu ' kali na za ' kutukuka ' kabisa.
Kwa sababu ni za chini chini zibaki za chini chini maana ni uongo uliotukuka
 
Sasa hv alsaedy balaa yaani bm,abood sijui nani awaoni ndani kabsa yaani
 
Tatizo la AL SAEDY ni kama daladala za kihonda to mjin
Hapo na kataa kabsa yaan alsaedy sasa hv magr yake abood na bm hawaon ndan fulu kiyoyoz na usb magar yote unachaj simu sio kama ilivyo kwa hayo mengne yapo machache yenye sehemu ya kuchajia lakn alsaedy uhakika asilimia mia moja
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom