fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,396
Kwanza naomba nikiri wazi kuwa sina uhusiano wowote na mabasi tajwa mimi ni msafiri tu wa kawaida.
Kiukweli Abood Bus alianza kubweteka na kufanya vile anavyojisikia bila ya kuzingatia mteja anataka nini.
Miaka ya 2000 mwanzoni mpinzani mkubwa wa Abood Bus kwa ruti ya Dsm mpaka Moro alikuwa ni Hood.
Hood alifanya soko la Abood kuwa gumu pale alipoleta Marcopolo Torino na mfumo mpya wa basi kuwa na dereva tu bila ya kondakta.
Wakati huo Abood bado akiendelea na yale mabasi yake ya zamani zile scania engine ipo nyuma (mimi sio mtaalam wa model za magari).
Hii ilipelekea basi nyingi za hood ziwe njiani yaani basi linatoka dsm kwenda Moro likifika chalinze tayari lishajaa abiria wanaolisubiri pale msamvu Moro wards nalo Dsm.
Kuona hali inakuwa tete Abood ikampasa kuvunja kibubu chake nae akazama Africa Kusini akatuletea Marcopolo Andare Class.
Kiukweli basi hizi kwa wakati huo zilikuwa zipo kileleni kwa kila kitu na hii ikapelekea kuvuruga soko la hood na kuzipoteza kabisa.
Kinachomsaidia hood gari zake ametawanya Tanzania tofaut na Abood ruti zake zinahesabika.
Baada ya kushinda soko akaanza kujisahau maana akawa wakati mwingine analeta yale mabasi yake ya zamani mwanae.
Nakumbuka niliwahi kukata tiketi pale ubungo kuingia ndani tunaletewa basi sio bahati tulikuwa na ushirikiano tuligoma ndipo likaletwa lile tulilokatia tiketi.
Kwa takribani muda kidogo alijitokeza AL saedy akashindwa kuleta changamoto kwa Abood tatizo la AL saedy gari yake ni kama daladala.
Akaja Gombe Expedition nae hakufanya lolote.
Ndipo BM akamwaga zile youtong zake za mwanzo kwa fund. Na cha kupendeza zaidi akawa anatoa dizaini yote ya mabasi ya kisasa kuanzia youtong, higher mpaka zhongtong na vioo tinted ndani ac(ingawa inawashwa pale stendi ila mkitoka tu wanazima).
Sasa naona Abood nae anatoa youtong za ukweli tatizo lake kubwa zinanyata balaa
Hivyo uwepo wa BM Coach umeleta changamoto kwa Abood Bus.