Hivi nyie wanaume wa JF mnaona wakinadada ndio wana blog za mapenzi? Wangapi ambao ni wanaume wana blog za ngono kabisa, nafuu hao wanawake wanaozungumzia mapenzi kuliko hao wanaume wanatoa picha za ngono kabisa na watu wapo uchi. Yule mwenye blog ya utamu alikuwa mwanamke? Na mwenye blog ya mawowowo nae alikuwa mwanamke? Mbona hao hamkuwasema? Kwa kuwa wanawake 2 au 3 wenye blog za mapenzi basi imekuwa tabu. Eti nwanawake mawazo yao yamekaa kingono ngono nani kawaambia hivyo nyie wanaume? Mwanamke asifanye kitu inakuwa shida, tena akifanya baya ndio mwasema. Wangapi wanawake wana blog za kuelimisha mbona hatujaona hapa mmeanzisha thread za kumpongeza. Baadhi ya watu wanaosema mwanamke ni kiumbe dhaifu wala sikubaliani nao. Wangapi ni wanaume ni waadhaifu mbona hamuwasemi?
UKITUSI MWANAMKE, UMETUSI TAIFA NZIMA.