Blog za kina dada

Blog za kina dada

Na swali linabakia je nyie mnatafuta nini kwenye hizo blog kama mnaona mnachefuka?Hiyo inaashiria kuwa na nyie mnafurahia na usikute wengine wanatumia hizo nyia kufanyia punyeto.

astakafirullah!! 'pilau' zilivyojaa kwa wamachinga je.
 
mkuu si uamsikiaga kwenye leo tena..............alafu wanapelekeshwa na wakian kijo bisimba na ananelia nkya eti wagombee haki zao..pyuu gademu kule kwenye siasa nilisema hakuna mwanamama anaweza kuwa raisi tz....hatuna wakina Benazir Bhuto.....tunao wakina RiRi

hehehe Bongo hapa tutasubili huyu ndo eti afuate nyayo za R.I.P Amina Chifupa wanampa sana kichwa lakini kwa siasa zetu utashangaa mbunge wa kuteuliwa wakubwa wakisha pita pale basi hakuna cha elimu wala nini mtu huyooo mjengoni.
 
Mmmeona hiyo highlighted in blue?.Amesema ni "bora wangezumgumzia Mapenzi".Lakini hizi zingine hata word mapenzi hakuna ni fashion tuu kwa kwenda mbele,kama wao ni fashionista unataka waongolee nini?besides fashion ndiyo inafanya kila mtu anapendeza.
eti fashenisti.......hivi niulzie kila mwanamke tz ni fashenist? fasheni gani bana na mapicha ya wakina beyonce wakitoka club......

wengi wanakopi picha na kuzibandika kwenye blog zao.......sijaona hata mmoja anae deal an fasheni za kibongo.......wengi wako kama BAK copy na paste
 
true my sister. u r amongst the brave & respected. sasa hao wengi wanawatibulia

Unajua Mziwanda... kuna namna nyingi za kuji express au kutafuta recognition..nimeona si wanawake tu hata wanaume wengi wasiokuwa na forums nzito za kuonekana na kusikika hukimbilia kuanzisha blogs.Wengi wenye viwanja vya kutokea mara nyingi hawatakua hata na muda kuanzisha blog.Mimi binafsi sioni hata umuhimu huo... kwa hiyo waacheni tu wafanye kile which they think are best at.
 
nyinyi vipi bana mnataka issues za siasa siasa,mafisadi tuu kila kona.nani hapapendi mahali pale?acheni wadada wasasambule,ala!!
dada mtarajiwa hatuwezi kuwa na taifa la type za akina dada wa kitanzania......tutapotea....imagine
Raisi.....rachel temu
makamu.......teddy kalonga
waziri mkuu........dina marios
gavanawa pesa.....kelly01
waziri wa fedha......kui

......nchi itakuwa imeshafika kuzimu......
 
dada mtarajiwa hatuwezi kuwa na taifa la type za akina dada wa kitanzania......tutapotea....imagine
Raisi.....rachel temu
makamu.......teddy kalonga
waziri mkuu........dina marios
gavanawa pesa.....kelly01
waziri wa fedha......kui

......nchi itakuwa imeshafika kuzimu......

aisee hiyo Mtarajiwa dizaini ni njemba....
 
dada mtarajiwa hatuwezi kuwa na taifa la type za akina dada wa kitanzania......tutapotea....imagine
Raisi.....rachel temu
makamu.......teddy kalonga
waziri mkuu........dina marios
gavanawa pesa.....kelly01
waziri wa fedha......kui

......nchi itakuwa imeshafika kuzimu......

Na Mange Kimambi awe nani? Waziri wa sheria au AG wa serikali?
 
waziri wa fedha......kui

......nchi itakuwa imeshafika kuzimu......

Tulijaribu kwa kumpa Zakia akataka aifilisi nchi kabisa tukamshtukia mm naamini wanawake wa Kitanzania kuongoza bado sana.
 
Hivi nyie wanaume wa JF mnaona wakinadada ndio wana blog za mapenzi? Wangapi ambao ni wanaume wana blog za ngono kabisa, nafuu hao wanawake wanaozungumzia mapenzi kuliko hao wanaume wanatoa picha za ngono kabisa na watu wapo uchi. Yule mwenye blog ya utamu alikuwa mwanamke? Na mwenye blog ya mawowowo nae alikuwa mwanamke? Mbona hao hamkuwasema? Kwa kuwa wanawake 2 au 3 wenye blog za mapenzi basi imekuwa tabu. Eti nwanawake mawazo yao yamekaa kingono ngono nani kawaambia hivyo nyie wanaume? Mwanamke asifanye kitu inakuwa shida, tena akifanya baya ndio mwasema. Wangapi wanawake wana blog za kuelimisha mbona hatujaona hapa mmeanzisha thread za kumpongeza. Baadhi ya watu wanaosema mwanamke ni kiumbe dhaifu wala sikubaliani nao. Wangapi ni wanaume ni waadhaifu mbona hamuwasemi?

UKITUSI MWANAMKE, UMETUSI TAIFA NZIMA.
 
Kweli kazi ipo!!! Na ile ya Ze utamu owner ni mwanadada au ni mwanamvulana!!!??? Then hapo hakuna tofauti!!!! Thanks WoS, as always you spell out the reality!!!?? Ninaheshimu sana akina mama/dada, despite of their gender weaknesses, ambazo pia hata male gender zipo za kwao. Naona hapa ni kushambuliana tu na konyesha ni nani zaidi!! ?? Watz bwana.
 
Hehehehe tembea uone mama.
Angalia huyu mjasilia mali Dinahicious-Sex, Relationships & Love hivi huyu ndo huyu huyu Dina Marios?
Tembelea na kwa Nesta nae nafikiri utakuwa unampata kama umefika mawowowo lazima Nesta umjue.
mkuu dinahicious kawafunda hao walikuwa wazembe sana na vitambi juu.....na jua alianza zamani huyo ila hizi zinafumuka sasa hivi upupu mtupu........alafu hata dinahiocios ana IQ kubwa sio kama huyo marios......
 
mkuu dinahicious kawafunda hao walikuwa wazembe sana na vitambi juu.....na jua alianza zamani huyo ila hizi zinafumuka sasa hivi upupu mtupu........
Toka lini kuna kufundwa mtandaoni?
 
hehehehe naamini Yo Yo hata ukiwa kwenye sturi ndefu wahudumu iwa unawapa fact akikucheleweshea kukupa mvinyo kwi kwi kwi usiombee uende na mam sapu hehehehe utapewa huduma mbaya kuliko siku zote.
 
dada mtarajiwa hatuwezi kuwa na taifa la type za akina dada wa kitanzania......tutapotea....imagine
Raisi.....rachel temu
makamu.......teddy kalonga
waziri mkuu........dina marios
gavanawa pesa.....kelly01
waziri wa fedha......kui

......nchi itakuwa imeshafika kuzimu......


taratibu mazee na usiandike gender ya mtu kama humjui.saying hutaki taifa la type ya kina dada wa kitanzania is a merely blasphemous generalization.Hiyo list uliyopanga hapo sidhani kama kuna mmoja unamfahamu in person au alikwambia anataka kugombea political post tanzania.Siyo kina dada wote Tanzania wako kama Teddy Kalonga.Watu hawafanani na hatuwezi kuwa na interests zinazofanana.Kuna kinadada wasongo tulisoma nao,walikuwa na uwezo na walifanya vizuri tu na mpaka leo wako na maisha yao na ni vichwa tu.
Acha dharau mkuu.
 
UKITUSI MWANAMKE, UMETUSI TAIFA NZIMA.

how?substantiate
 
Nitaenda tu. Ila na nyie muache maneno ya salon.

maneno yapi mtu unapewa ukweli kwa mfano Yo Yo anasema wazi kuwa IQ ya wanawake wengi ni ndogo sijui unabisha au unakubali.
 
Kwenye blogs kila mtu ana discuss what they are good at. Kama upeo na vipaji vya hao madada is limited don't expect anything more. Hizo blog zenyewe they don't say anything you wouldn't already know.
 
Back
Top Bottom