Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
mkuu angalia email anayotumia ni NESTAMBUGI@GMAIL.COM kumbuka hio blog ilianzishwa na dume akaitema kwa sababu zake binafsi na sasa NESTA ndio admin.....usibishe nenda kwenye profile yake weka cursor kwenye email juu kushoto kisha angalia chini kabisa ya ur browser utapata kitu kama hiki....
![]()
yeah ni kweli, ila ukifuata profile yake inaonyesha kuwa ni mwanaume..labda na wazoefu wa majina, kumbe NESTA ni jina la kike....ila its true ni mwanamke kuna mahali nimeona anawaadress 'mashoga' zake...au it could be that ni dume anajifanya mwanamke?