Blog za kina dada

First off there are some vast collectivists' generalization, tuna wanawake girlie girlie lakini tuna kina womanofsubstance pia.

Girls will be girls, just like boys will be boys. Uki complain kwamba wanawake wanapenda sana mambo ya fashion na urembo ni sawa na wanawake ku complain kwamba wanaume kila saa wako glued kwenye ESPN, ma bnasketball, soccer n.k.

Ingawa wapo wanaume wengi wanafalsafa waliiona kuwa challenges za michezo ni feki na mchezo wa kweli ni kuzi face real challenges za maisha, na hivyo hawapendi sana michezo.Na kuna wanaume ma model na fashionistas pia.

Na kuna wanawake wapo katika michezo kushinda wanaume pia. Na wengine katika siasa pia.

One has to learn to accept people and see the differences as a welcome diversity to enrich our experiences.Sasa tunao watu kibao wenye blogs za siasa, tunazo blogs za photojournalism, waacheni kinadada nao wajinafasi kwenye blogs zao na mambo yao, kama sio style yako usipitie.Wengine ambao hawako karibu na kinadada wanaweza kujipatia uzoefu hapo hapo.

Sio lazima kila blog ya fashion iwe shallow na kila blog ya siasa iwe deep, actually kuna blog za siasa ziko shallow na blog za fashion ziko informative.Tushachoka kuona content za watu wa magharibi kwa style ya watu wa magharibi, sasa tunataka kuona kinadada wa kibongo wanasemaje.Hata kama hawako nuanced sana -and I am not saying or not saying if that is the case- ndio dada zetu hao na wanatupa kioo kizuri cha kujua nini kinaendelea upande wao.

Binafsi nawapongeza na I would rather have these blogs that are trying to find their voices than no blogs at all. As long as we don't venture into some tasteless lewd absurdities some perverts find entertaining.

hongera mkuu, ni mtazamo tu ila si lazima wote tuimbee. wengine wabakie kuwa mashabiki
 
Mara nyingi mtu anaongelea kile ambacho kimemtawala kichawani mwake ili kujustify mawazo yake. Huo ndio uhuru binafsi. Kwake unakuwa sawa ila kwa wengine unakuwa kero
 
Unajua Mziwanda... kuna namna nyingi za kuji express au kutafuta recognition..nimeona si wanawake tu hata wanaume wengi wasiokuwa na forums nzito za kuonekana na kusikika hukimbilia kuanzisha blogs.Wengi wenye viwanja vya kutokea mara nyingi hawatakua hata na muda kuanzisha blog.Mimi binafsi sioni hata umuhimu huo... kwa hiyo waacheni tu wafanye kile which they think are best at.

...I agree with you WoS. Problem is most of them are not Doing Best in what they think they are best at. In fact, they are not even trying...!
 
Back
Top Bottom