Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
so far nimeshaziona na kutembelea mbili. ya Diva wa clouds na Dina wa clouds pia. sijajua kama kuna wengine wana blog zao. kilichonifanya niwaanike ni kuwa hawana jipya. mmoja alirushwa sana kwenye blog ya michuzi kuwa kaanzisha blog, kutembelea ndio hivyo tena. yaani bora wangezungumzia mapenzi-ni ngono tupu! huyu anazungumzia kifo cha mende na huyu anazungumzia ni mwanaume gani celeb wa bongo ungependa ku-do nae! nimegundua wamelalia katika mapenzi kwa vile hakuna nguvu ya ziada kutafuta habari. ningewaona wa maana zaidi kama blog zao zingekuwa na mrengo kama wa kina michuzi, mpoki, ndesanjo na wengine wengi. wanawake badilikeni mje na kitu kipya. mapenzi yapo na hayaishi. kwa staili hiyo tutaendelea kuwaonea huruma tu na 'hamtatoka'