Blog ya IssaMichuzi haikupatia Uzito Msiba wa Shujaa REGIA MTEMA

Ndugu,

Mtoa mada kuhusu Blog ya Michuzi ninakushauri fanya utafiti kwanza kabla ya kulaumu,

Mimi ni Mwana JF lakini picha za ajali zinavyoonyesha jinsi Gari la Marehemu Mbunge Regia lilivyoharibika nimezipata kutoka blog ya Michuzi,

Tuache chuki binafsi,

Big up sana Michuzi Blog.
 
Back
Top Bottom