KARIBU SANA BLACKBERRY. Karibu ujisikie uko jamvini.
Ahsante dena nimeona naambiwa nitoe post ya kwanza nikachagua humu nimekosea?
Nimesema kule kwenye kujitambulisha, mimi ni she.
Hey nimejiunga leo nimependa nijitambulisha na humu kwani huwa napenda sana kuja jukwaa hili kama guest nikaona isiwe tabu ngoja tu nijiunge ili niweze kucomment kwenye hoja itakayonivutia.Yaani kuna member huwa nawazimia sana
nawapenda nyote
Ahsanteni
Ina maana naweza kuwasiliana humuhumu na mtu bila wengine kujua? looo kumbe naweza wapm watu naowazimia humu hata kama hawataki? au unauliza kwanza
unataka kuposa ndugu yangu
Wapi huko mie ndio kunanifaa nafanyaje kufika huko? au mpaka uwe member mkongwe?
Jisikie uko nyumbani. Hili ni jukwaa la wastaarabu na tunapenda kutumia lugha za kistaarabu
Maria Roza ahsante ofisini huwa wanakuongelea sana ila sijajua kwa nini i hope nitajua soon
Ahsante dada umenitisha nusu nikimbie
Torch bwana ahsante mkuu
Hahaa haaa Lol! poa karibu tena... lakini kuwa uvumilivu ni kitu cha msingi sana humu ndani maana kila mtu ana akili,fikra,mawazo,mtizamo,ushabiki tofauti... kuwa na busara na ukiwa unatoa hoja uwe na source lasivyo watakushambulia watu humu kama mwizi, ok nisikutishe karibu karibu karibu...