LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
Ina maana naweza kuwasiliana humuhumu na mtu bila wengine kujua? looo kumbe naweza wapm watu naowazimia humu hata kama hawataki? au unauliza kwanza
Yani hapa ni wewe tu Blacklebo wangu, hata sasa hivi ukiamua kunitumia PM unanitumia tu,
Ili mradi iwe na malengo mazuri.
Hebu ngoja nikutumie moja uone.