BlackBerry is in the house

BlackBerry is in the house

Ahsante dena nimeona naambiwa nitoe post ya kwanza nikachagua humu nimekosea?[/QUOTE]

Ahahaaa! Kwa maswali hujambo BB,
Nimefurahi ulivo na hamu ya kuijua JF na umeonesha ulivokuwa unaimiss siku zote ulipokuwa mere guest.
Wahenga walituambia uliza oungeze maarifa.
Swali lingine Blackberry? Au yameisha?
Karibu sana jamvini tujimwage.
We nawe umenitolea kali, kwanza umejiunga tu february halafu ni premium halafu umequote vipi hivyo aisee embu nipe darasa mkuu, nina kiu
 
Nimequote vibaya hapo juu natumaini umenielewa naomba jibu
 
We nawe umenitolea kali, kwanza umejiunga tu february halafu ni premium halafu umequote vipi hivyo aisee embu nipe darasa mkuu, nina kiu

Blackberry inaonekana darasani mwalimu kama hana masomo anakukimbia kwa msawali yako, bado unaendelea tu!
Kwenye Nyekundu, rejea post #73 ya Manyanza.
Kwenye Bluu, mwisho wa post on the far right kuna apostrophe (")na plus sign(+), pamoja. Ukitaka multiple quotes zi-click post moja baada ya nyingine na utaona alama ya vema (√) kila uki-click and finally click kitufe cha "Reply With Quote". Then unaendelea kama kawaida na unaweza kuedit hiyo quote to fit your needs, na usanii mwingine tu kama kwenye word. There you go.
Try one.
Swali lingine?
 
Umechanga pesa kwa njia ipi? we ni mkali, na watu humu wanajuana? mbona naona kama wengine wakitoa thread inachangiwa sana na thanks kibao ila wengine utakuta posts mbili tu halafu thread ya maana sana? au member wanasapotiana kutokana na renk zao? usichoke ndugu yangu
 
Nimeona posts yako ya urafiki nitakuomba mimi kama huwezi pole taratibu ndio mwendo hata mbuyu ulianza kama mchicha, ila una speed shost na maswali mengi sana mengine utajua taratibu.kuhusu thanx mhhhhhh mie nimeslow down nasubiri thanx given na received zi break even lol?????? watu wagumu kwa thanx hatar
 
Karibu sana hapa MMU ni jukwaa zuri sana utajifunza maisha na kila kitu. Ukiwa na lako la moyoni usisite kulileta jamvini kwa mchango wa mawazo.Thanx kuongeza kikosi kazi cha wadada.
 
Poa ahsante gaga kwa ushauri nitapunguza speed , nashukuru sana
 
Karibu sana hapa MMU ni jukwaa zuri sana utajifunza maisha na kila kitu. Ukiwa na lako la moyoni usisite kulileta jamvini kwa mchango wa mawazo.Thanx kuongeza kikosi kazi cha wadada.

Ahsante bea nishakaribia
 
Umechanga pesa kwa njia ipi?

Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:

1. Kwa walio nje wanaweza kutumia PayPal au Credit Cards au Debit Cards kwa kufuata link hii ( https://www.jamiiforums.com/payments.php) iliyo kwenye sahihi yangu (linapoonyesha dole gumba) na pindi mchangiaji anapoweka chochote tunakuwa notified nasi tunafanya kuwasiliana na mhusika ili aweze kupandishwa kwenda katika group la Premium Members.

Paypal users:

Send via email - macdemelo@gmail.com moja kwa moja itafika na utaarifiwa ndani ya dakika 60 kuwa mchango wako umepokelewa.

2. Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo Mubyazi wa Dar es Salaam.

3. Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:

NBC:

Acc #: 033201064359
Jina: Maxence Melo Mubyazi

CRDB:

Account Name: Maxence Melo Mubyazi
Bank: CRDB Pugu Road Branch
Swift Code: CORUTZTZ
Acc No: 01J2092391800

4. Njia ya nne:

Unaweza kutuma recharge vouchers za tiGO, Zain, VodaCom au Zantel kwenda kwa Maxence - 0713444649 naye atakufahamisha kuwa kazipokea.

=================================

Ikumbukwe, SI LAZIMA kuandika jina lako la kweli na SI LAZIMA kwenda mwenyewe bank kutuma pesa hizo (kwani unaweza kumpa unayemwamini na kumpa account details na jina lako ambalo ungependa aandike).

Tunaweza kuandika mengi lakini ukweli unabakia pale kuwa JF inahitaji michango yenu kwa sana tu.

Kwa wenye maswali zaidi wanaweza kuwasiliana na Maxence kupitia namba yake ya simu +255713444649.
2
 
we ni mkali, na watu humu wanajuana? mbona naona kama wengine wakitoa thread inachangiwa sana na thanx kibao wengine utakuta posts mbili tu halafu thread ya maana sana? au member wanasapotiana kutokana na renk zao? usichoke ndugu yangu

Hapa JF wengi hutumia anonymous ID anayoijua mhusika mwenyewe, I cant say maybe some have divulged their ID or perhaps know eachother in person. Binafsi simjui yeyote zaidi ya hizi IDs na sitaki nijue.
Hebu turudi nyuma Blackberry, wewe hata wiki moja huna na the first thread ya utambulisho watu wamekukaribisha, I can say like no other member!
Nani anakujua?
Hizo thread zinazokosa response labda hazina mvuto kwa wengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom