BlackBerry is in the house

BlackBerry is in the house

PHP:
Maria Roza ahsante ofisini huwa wanakuongelea sana ila sijajua kwa nini i hope nitajua soon

JF without Maria Roza is like Dar without askari monument...............................we love her very much....................................

Niambieni namna ya kujua umuhimu wake mie nasoma posts zake humu humu
 
Niambieni namna ya kujua umuhimu wake mie nasoma posts zake humu humu

M pm invisible yaani ingia private msg mtumie unataka kuin gia jukwaa la wakubwa huko utaona utamu wake ila sio lazima kama hupendi kuona mapicha ya x.
 
Ahsante mkuu naona wewe mkongwe, unafanyaje mpaka unakuwa premium member mbona nikiangalia wengine wako mda mrefu ila sio premium wengine sio wa muda mrefu ila ni premium.

Hahaa haahaa BB wewew ni mdadisi sana, unajua Jamii Forums ni Forum ambayo inahitaji pesa ili iweze kuendeshwa ndio maana hata mimi najipiga piga kila wakati ili niweze kuchangia nilichonacho, maana elimu na maarifa ninayoyapata humu ni zaidi ya elimu ya Chuo kikuu.. sio mbaya kama na wewe utataka kuwa Premium Member unaweza ukawa unachangia kwa kadri unavyoweza
Ni bora kuichangia Jamii forums kuliko kuchangia Shule za kata.
Na kilichonifanya nianze kuchangia ni thread hizi,

CHANGIA JF: Mkono mtupu haulambwi

Tumeelemewa: JF kufungwa!
 
Ama kweli nimeamini swali anaweza uliza mwingine likafaidisha watu wengi, nimeona na mimi nilikuwa sijui nimejua humuhumu. thanx
 
Hey nimejiunga leo nimependa nijitambulisha na humu kwani huwa napenda sana kuja jukwaa hili kama guest nikaona isiwe tabu ngoja tu nijiunge ili niweze kucomment kwenye hoja itakayonivutia.Yaani kuna member huwa nawazimia sana
nawapenda nyote
Ahsanteni
Karibu bi dada wewe ingia mpaka sebuleni
 
Hahaa haahaa BB wewew ni mdadisi sana, unajua Jamii Forums ni Forum ambayo inahitaji pesa ili iweze kuendeshwa ndio maana hata mimi najipiga piga kila wakati ili niweze kuchangia nilichonacho, maana elimu na maarifa ninayoyapata humu ni zaidi ya elimu ya Chuo kikuu.. sio mbaya kama na wewe utataka kuwa Premium Member unaweza ukawa unachangia kwa kadri unavyoweza
Ni bora kuichangia Jamii forums kuliko kuchangia Shule za kata.
Na kilichonifanya nianze kuchangia ni thread hizi,

CHANGIA JF: Mkono mtupu haulambwi

Tumeelemewa: JF kufungwa!

Natamani aisee sio haki kuganda Jf tangu asubuhi mpaka usiku wa manane bure tu
 
niPM mnamaanisha nini

naweza kuwasiliana humuhumu na mtu bila wengine kujua? looo kumbe naweza wapm watu naowazimia humu hata kama hawataki? au unauliza kwanza

. ni cha nini na kina faida gani? mbona sehemu zingine nimekuta kinyota tu.

Ahsante dena nimeona naambiwa nitoe post ya kwanza nikachagua humu nimekosea?[/QUOTE]

Poa assistant invizibo, ni nani huyu

Niambieni namna ya kujua umuhimu wake

, unafanyaje mpaka unakuwa premium member, mbona nikiangalia wengine wako mda mrefu ila sio premium wengine sio wa muda mrefu ila ni premium.

Ahahaaa! Kwa maswali hujambo BB,
Nimefurahi ulivo na hamu ya kuijua JF na umeonesha ulivokuwa unaimiss siku zote ulipokuwa mere guest.
Wahenga walituambia uliza oungeze maarifa.
Swali lingine Blackberry? Au yameisha?
Karibu sana jamvini tujimwage.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom