black is beauty mashalaah nashangaa wadada walioabudu caro light

kuna picha ya wema nimeweka kuonyesha wasichana wasivyojiamin na ngoz yao wema alikuwa black black beauty sasa hivi kawa kama kitimoto kuna picha yake nimeweka ili uone madhara ya caro light,si kuweka kumaanisha black beauty
Kuna ambao ni waafrika na weupe natural...sina mfano hapa wa common figure ningetoa..Hao nao ni black beauty?
 
Kuna ambao ni waafrika na weupe natural...sina mfano hapa wa common figure ningetoa..Hao nao ni black beauty?

black ni sawa na african ndio maana wenzetu united states sometimes utumia black./african american,lakin kwa apa namaanisha black or african ambayo aijachanganywa na chemical,akiwa light skin ni sawa lakin isiwe ya chemical,iwe natural
 
Jamani mbona mnapenda kumuandama Wema wakati kuna watu kibao wanaojikoboa ikiwemo hata viongozi wetu wa serikali upande wa akina mama.

kwa sababu ni maharufu na watu wengi wanamfahamu adi uswahili,nikitoa mfano wa viongoz watu wengi awajui viongoz wao anyway ngoja nikupe mwingine reiii.jpg aya mkuu mfano mwingine huo,hope roho yako itasuuzika
 
black ni sawa na african ndio maana wenzetu united states sometimes utumia black./african american,lakin kwa apa namaanisha black or african ambayo aijachanganywa na chemical,akiwa light skin ni sawa lakin isiwe ya chemical,iwe natural

Bado hujajibu swali..Kwa hiyo na kule Egypt,Libya etc nao ni mablack byuti kwa vile ni waafrika??
 
Money stunna we are talking in African context, hao sio black/weusi. Kikwetu kama hatuwaiti maji ya kunde au weupe. Ukileta za huko marekani, kama sio Caucasian lazima uwe Black regardless uwe mhindi, mwarabu etc.
 
Last edited by a moderator:
Rais wa wamasai anafunika funika nini, mnara wa mawasiliano umekamata network nini?

mkuu unaona si mchezo,mimi ningeweka mkomo mifukon lakin du mkuu mheshimiwa naona kaona isiwe tabu acha ashike network
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom