black is beauty mashalaah nashangaa wadada walioabudu caro light

black is beauty mashalaah nashangaa wadada walioabudu caro light

Watu tukiwa mtaani utasikia . . ."lione vile jeusi kama mkaa"
Ila mtandaoni ndo mnajifanya "Black is beauty"

Mngekuwa manawaencourage hivi siku zote hata carolight ingeshakosa soko!
 
Mmmh bado mkuu hujafanya kitu, unatangaza black is beauty halafu wote kwenye picha ni light skin, tueelewe vipi?
Hapo anafananisha mweusi yani mwenye asili ya africa na mzungu... mtamu ni mwafrika..sio mdhungu...
 
Back
Top Bottom