Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
One famous lawyer once said, "it's not what you have done, but what they show you have done". Facts can be made however you want. So you always have to approach them careful. Usidhani mimi nawatetea, lakini ukumbuke how psychology plays a part katika maoni ya watu na facts zinazotolewa. Wengi wamesoma na kuona umri wa watoto, na vitendo walivyotendewa, basi, mara moja wameshatoa hukumu. Inakuwa ngumu kuona upande mwingine. but anyway...
Ivi system ya proof Tanzania ni "beyond reasonable doubt"? Na kuna trial by jury?
WoS, kwanza nakushukuru sana kwa kuleta hii taarifa nyeti hapa jamvini. Inasadia sana kupunguza akina Thomaso. Hata hivyo ninapatwa na wasi wasi na ningependa kujua baadhi ya vitu au najiuliza hivyo vitu. Kama kweli mtoto kama Gift alifanyiwa hayo mambo angawezaje kutembea hadi nyumbani na inawezekanaje afanyiwe mara kadhaa bila kuchananwa. Vinginevyo alikuwa anachezewa tu bila kuingiliwa (there was no intromission). Na kwa watoto wengine, je waliingiliwa na hakuna aliyeumizwa (physicall) kwa kuchanika? Hilo bado linanitatiza kidogo. Na kama hawa watoto walifundishwa hiyo hadithi, kulikuwa na utaratibu mzuri wa ku-scrutinise ili kuhakikisha kuwa wanaongelea yaliyotokea na si yale waliyofundishwa?
Naguswa sana kama mzazi ila hayo maswali bado yananisumbua.