Black and White - Hukumu ya Nguza Vicking (BABU SEA) na Wanawe

Uzi wa kipekee huu!haya ngoja magret sinka wakuje kipande hii
 
Mimi siungi Mkono hii thread kuwa hapa, kama hukumu ilitolewa na Ipo humu ukiitaka utaipata. Na ushahidi wa wale watoto unaonekana wazi kabisa.

Nombeni Moderators ikiwezekana muondoe hii thread cc Invisible

Sio vyema kujadili mambo yalishatolewa maamuzi na mahakama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom