Mbona mkuu ile avatar yako pendwa umeitoaWakuu nafikiri mpo poa
Naona zimebaki siku chache tumalize mwaka
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kuwashukuru wote walionipa sapoti hapa JF kuanzia January to December,kwangu huu ni mwaka super tofauti na 2015(mwaka niliojiunga)
Shukrani za pekee ziwaendee Jimena na Bailly5/Th Name ....hawa ndo maswahiba wangu wa mwanzo kabisa humu JF walinipokea kishikaji vilevile kwenye thread zangu nyingi walikuwa wachangiaji wakubwa na nikagundua swaga zetu zinafanana kuanzia timu tunazoshabikia hadi vituko vyetu, ndio maana nikashirikiana nao kuanzisha uzi uliokuja kuporomosha ufalme wa wakongwe chit chat wa Makapuku Forum.....nawashukuru sana
Pia nawashukuru sana Mussolin5 ....Nimejifunza mengi kutoka kwa Mussolin( huwa namwita dikteta) jamaa alikuwa anaporomosha nondo zilizoshiba kupitia "Leo ktk Historia*" jamaa kwa ishu za historia hana mpinzani
Makapuku wote kina Jonax(kikofa),QUEGLY,Shululu(nasikia ni kaka ake Lulu) na wengine wengi maanashindwa kuwataja wrote......Japo QUEGLY mwanzoni ruliluwa tunakwaruzana kinoma lakini jamaa ni mvumilivu sana na hadi leo tupo peace
Nawashukuru pia members wote walionipa sapoti hapa JF pia nawashukuru na haters maana najifunza mengi kupitia kwenu.....maana wapo waliokazana kunichallennge
Nawakubali wote japo kuna baadhi ya wakongwe ambao nimegeuka kuwa adui yao mkubwa sababu ya kuanzisha vuguvugu la Makapuku,lakini sijali sana maana siwezi kupendwa na wote
Nawashukuru wote
Merry X & Happy New Year
The Bitoz
Umesahau kitu kimojaWakuu nafikiri mpo poa
Naona zimebaki siku chache tumalize mwaka
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kuwashukuru wote walionipa sapoti hapa JF kuanzia January to December,kwangu huu ni mwaka super tofauti na 2015(mwaka niliojiunga)
Shukrani za pekee ziwaendee Jimena na Bailly5/Th Name ....hawa ndo maswahiba wangu wa mwanzo kabisa humu JF walinipokea kishikaji vilevile kwenye thread zangu nyingi walikuwa wachangiaji wakubwa na nikagundua swaga zetu zinafanana kuanzia timu tunazoshabikia hadi vituko vyetu, ndio maana nikashirikiana nao kuanzisha uzi uliokuja kuporomosha ufalme wa wakongwe chit chat wa Makapuku Forum.....nawashukuru sana
Pia namshukuru sana Mussolin5 ....Nimejifunza mengi kutoka kwa Mussolin( huwa namwita dikteta) jamaa alikuwa anaporomosha nondo zilizoshiba kupitia "Leo ktk Historia*" kwenye thread ya Makapuku jamaa kwa ishu za historia hana mpinzani
Makapuku wote kina Jonax(kikofa),QUEGLY,Shululu(nasikia ni kaka ake Lulu) na wengine wengi (maanashindwa kuwataja wrote)......Japo naQUEGLY mwanzoni ruliluwa tunakwaruzana kinoma lakini jamaa ni mvumilivu sana na hadi leo tupo peace
Nawashukuru pia members wote hapa JF pia nawashukuru na haters maana najifunza mengi kupitia kwenu.....maana wapo waliokazana kunichallennge
Nawakubali wote japo kuna baadhi ya wakongwe ambao nimegeuka kuwa adui yao mkubwa sababu ya kuanzisha vuguvugu la Makapuku,lakini sijali sana maana siwezi kupendwa na wote
Nawashukuru wote
Merry X & Happy New Year
The Bitoz
Haha mkuu nakustahi maana najua team yako ilivyo, nasubiria hiyo zawadiMtani nitakupa zawadi ya jezi ya kibabu Diego Costa