Bitoz: Namaliza mwaka vizuri !!!

Kubadili heading ni Mod pekee anayeweza ila sioni sababu ya msingi maana kapuku ndo neno lililotutoa na lina histora na sababu zake

Sasa kulibadilisha ni sawa na Chakupewa atoke kijijini aje Dar kutafuta maisha halafu akishafanikiwa ajiitePrince

Pamoja brother
 
4c5ab1f299bb6c807461d4a8ae04ad56.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom